Chakula hiki nimekipata kwa elfu 3000 tu

Broh mbona kama hiyo image ni screenshot from TikTok?
 
Bomu la Nyuklia hilo....hapo mzigo wa kutosha🀣🀣🀣🀣
 
πŸ™„
Hapa ukishavimbiwa ni mwendo wa kucheza na stop engine mpaka raia wa kutunza mazingira watengue kauli
 
Watu wakae mbali na wewe Vladimir Putin. Kinachofata hapo ni milipuko tu
 
Next time shushia na bakuli la uji mwepesi mno uliolala, usiwe wa moto. Inaimarisha utumbo na kuiandaa njia ya kutolewa hewa chafu isichubuke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…