dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
- Thread starter
- #41
Kaka acha zarau Nina account Twitter x na tiktok na kote nimepost hicho chakula changu ingia x utanikuta kwa jina hili HiliAnatuchukulia oya oya ๐
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaka acha zarau Nina account Twitter x na tiktok na kote nimepost hicho chakula changu ingia x utanikuta kwa jina hili HiliAnatuchukulia oya oya ๐
Kina kutu.Kwann mkuu
Ni kweli kwani...!!!??Kwa hyo uwezi niheshimu kwa kuwa Nina account tiktok acha zako mkuu heshim iendelee
Umetia aibu na picha ya tiktok ๐๐๐Leo nimepta msosi wangu pendwa kbsa wa mix ya mayai na maharage
Nikachamganya na maparachichi kwa kweli leo siku imekwenda vzr siyo kaama juzi niliishia kunywa energy drink
Nimeambiwa nijiandae kukabiliana na Hali itayo nipata.
Sasa c account yangu hyo mkuuUmetia aibu na picha ya tiktok ๐๐๐
Asante sana dr namugari , mimi pia ni mpenda kula misosi tofauti tofauti!. Uliwahi kula vyakula gani kutoka sehemu mbalimbali Duniani ukafaidi?Leo nimepta msosi wangu pendwa kbsa wa mix ya mayai na maharage
Nikachamganya na maparachichi kwa kweli leo siku imekwenda vzr siyo kaama juzi niliishia kunywa energy drink
Nimeambiwa nijiandae kukabiliana na Hali itayo nipata.
Kuna mwenzio nae alisema amekula the same food April 11 na yupo UgandaLeo nimepta msosi wangu pendwa kbsa wa mix ya mayai na maharage
Nikachamganya na maparachichi kwa kweli leo siku imekwenda vzr siyo kaama juzi niliishia kunywa energy drink
Nimeambiwa nijiandae kukabiliana na Hali itayo nipata.
Bwana Elvis akija atasema ukweli.Broh mbona kama hiyo image ni screenshot from TikTok?
Mbna kuna. Mtu Yuko serious kaja kanunua na kalipa cash na amelipenda wazao na Yuko mbioni kukitekelezaIle business idea ungetuwekea tu hapa kuliko kuuza isije ikawa hiki chakula nacho ni business idea maana nacho kinazalisha mabomu