The Lastdream
JF-Expert Member
- Jan 23, 2024
- 1,970
- 4,616
🤣🤣🤣nimecheka Sana hakika umaskini ni Laana!Kwahiyo unamaanisha elviscandy00 ni account yako ya tik tok?
Na wewe ndio umechukua hiyo video ukascreenshot?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣nimecheka Sana hakika umaskini ni Laana!Kwahiyo unamaanisha elviscandy00 ni account yako ya tik tok?
Na wewe ndio umechukua hiyo video ukascreenshot?
Mi huwa nakadilia kwa ID ya mtu..Muhuni tu huyo 😅
Ina maana anatumia tik tok......Kwahiyo unamaanisha elviscandy00 ni account yako ya tik tok?
Na wewe ndio umechukua hiyo video ukascreenshot?
Hao ndiyo watanzania watatumia nguvu zote kuonyesha wako sahihi rejea ushindi wa chama chetu 2020Kwahiyo unamaanisha elviscandy00 ni account yako ya tik tok?
Na wewe ndio umechukua hiyo video ukascreenshot?
Nimeitazama kwa makini hiyo meza nikapata majibuKwahiyo unamaanisha elviscandy00 ni account yako ya tik tok?
Na wewe ndio umechukua hiyo video ukascreenshot?
Hapo inatakiwa mwenzako unamuachilia mabomu usiku ,halafu unamfunika na blanketi gubi gub
Braza mm hyo Ni account yangu ya tiktok pia 😂Muhuni tu huyo 😅
Broh maelezo yako yanakinzana. Hebu tukaushie kidogo 😅Braza mm hyo Ni account yangu ya tiktok pia 😂
Anatuchukulia oya oya 😅Mi huwa nakadilia kwa ID ya mtu..
Nilikua namuheshimu sana ila sana nimemjua 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Kizuri sana, nimekipenda.Leo nimepta msosi wangu pendwa kbsa wa mix ya mayai na maharage
Nikachamganya na maparachichi kwa kweli leo siku imekwenda vzr siyo kaama juzi niliishia kunywa energy drink
Nimeambiwa nijiandae kukabiliana na Hali itayo nipata.
Hicho kijiko ni macho yangu au nimeanza kuzeeka?Leo nimepta msosi wangu pendwa kbsa wa mix ya mayai na maharage
Nikachamganya na maparachichi kwa kweli leo siku imekwenda vzr siyo kaama juzi niliishia kunywa energy drink
Nimeambiwa nijiandae kukabiliana na Hali itayo nipata.
elfu 3000 (elfu elfu tatu) maana yake milioni tatuLeo nimepta msosi wangu pendwa kbsa wa mix ya mayai na maharage
Nikachamganya na maparachichi kwa kweli leo siku imekwenda vzr siyo kaama juzi niliishia kunywa energy drink
Nimeambiwa nijiandae kukabiliana na Hali itayo nipata.
Anazingua sana..Anatuchukulia oya oya 😅
Anazingua sana..Anatuchukulia oya oya 😅
Kwa hyo uwezi niheshimu kwa kuwa Nina account tiktok acha zako mkuu heshim iendeleeMi huwa nakadilia kwa ID ya mtu..
Nilikua namuheshimu sana ila sana nimemjua 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Kwann mkuuHicho kijiko ni macho yangu au nimeanza kuzeeka?