Chakula hiki nimekipata kwa elfu 3000 tu

Umetia aibu na picha ya tiktok πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Israel ataweza mashambulizi ya iran
 
Mora moja si mbaya kufanya ugunduzi wa aina ya kula
 
Leo nimepta msosi wangu pendwa kbsa wa mix ya mayai na maharage
Nikachamganya na maparachichi kwa kweli leo siku imekwenda vzr siyo kaama juzi niliishia kunywa energy drink

Nimeambiwa nijiandae kukabiliana na Hali itayo nipata.
Asante sana dr namugari , mimi pia ni mpenda kula misosi tofauti tofauti!. Uliwahi kula vyakula gani kutoka sehemu mbalimbali Duniani ukafaidi?
The food looks good, tasty!, ukila utafaudu!. Na ili kuzuia ma bomu ya nyuklia, ukimaliza kula, shishia na glass ya red wine, itakata gesi, hivyo kutakuwa na usalama!.

P
 
Ile business idea ungetuwekea tu hapa kuliko kuuza isije ikawa hiki chakula nacho ni business idea maana nacho kinazalisha mabomu
 
Kuna mwenzio nae alisema amekula the same food April 11 na yupo Uganda
 

Attachments

  • Screenshot_20240423-070339.png
    1.1 MB · Views: 5
Ile business idea ungetuwekea tu hapa kuliko kuuza isije ikawa hiki chakula nacho ni business idea maana nacho kinazalisha mabomu
Mbna kuna. Mtu Yuko serious kaja kanunua na kalipa cash na amelipenda wazao na Yuko mbioni kukitekeleza
 
Ukute umekaa Siti moja na abiria mwenzio aliyekula huo mseto wa Chakula mbona unaweza kutamani ushukie njiani πŸ™Œ

Kuna vyakula vingine vinafaa ule ukiwa una ratiba ya kulala mwenyewe, sio kuja kumtesa mtoto wa watu πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…