Mohammed wa 5
JF-Expert Member
- Jun 20, 2022
- 1,215
- 3,035
Twende kazi
Maisha ya ubachelor ni kazi Sana nakumbuka since way back kabla sijaoa..Kuna sehemu nilikuwa napata msosi mchana Mara chache nikiwa Niko free. Yule dada aliokuwa anamiliki mgawaha alikuwa mpishi mzuri Sana in short alikuwa anatengeneza msosi mtamu, kwa sisi wapenda kula alitukamata
Mazingira ya watoto wake pale kwenye mgahawa sikuyapenda.. Yule dada kwa mtazamo ni single mothers ana watoto watatu wakwanza ni kiumbe Kama miaka 10 na wapili alikuwa wa kike ana miaka 8 na wa mwisho miaka 4 Kama sikusoe wale watoto wote walikuwa wanasoma wakitoka shuleni wanakuja kushinda na mama yao mpaka muda wa kutunga mgahawa jioni
Wamiliki wa mgahawa au wapishi tunaomba muache watoto nyumbani sio mnakujanao mpaka sehemu ya biashara.
Unakuta mteja umeandaliwa msosi wako mzuri tu unakula Ila watoto wale wanakupiga jicho mwanzo mwisho unavyokula Hadi unamaliza na sisi wengine wenye roho ndogo ilikuwa inatukosesha Raha San.
Kuna muda ukiacha chakula au soda umeenda kunawa nje ukirudi unakuta soda au msosi ulioacha wanamalizia.ile kitu ilinikata stimu nikaacha kwenda kula pale Yani nikabadirisha mgahawa.