Chakula kwa siku Tsh 30,000

Mr. Tutor

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2014
Posts
853
Reaction score
2,595
Maisha yanazidi kuwa magumu ukiwa na familia ya watoto wawili ukitaka kula nyama uwe na sio chini ya elfu 30.
Nyama kilo 10000
Michele kilo 2, 6000
Mkaa 5000
Nyanya, vitunguu, carrot, mafuta 5000
Chai asubuhi 5000.
Hapo hujaweka tunda lolote.
Vijana mjipange kabla ya kuamua kuanzisha familia
 
Kwamba familia ya watoto wawili (watu 4) mnakula kilo mbili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…