Mkuu vitafunwa vinakula pesa. Mimi nilicjukua option ya kubake mikate, na mandaz so ni kila baada ya siku 3.Hiyo elfu 3 mimi ndio vitafunwa vya breakfast kwa kujibaaana kama siku hiyo watoto hawajaenda shule.
Elf 3 pagumu tuwe wakwel 😂😂😂
Maana nna familia ya watu wazima watatu na watoto watatu.