Chakula kwa siku Tsh 30,000

Chakula kwa siku Tsh 30,000

Mimi nina same family size budget yangu ni hii
-Nyama kilo 1 (10,000) nakula mara tatu so hapa nikiamua kula siku nzima nyama nakula 6k
  • ubwabwa kilo moja = 2,000
  • mkaa 2000
  • korokocho zote (mafuta, chumvi, carrot n.k 3000)
Chai ya asubuhi wanapika vitafunwa so wakinunua unga kilo moja wanakula almost siku tatu vyapati zaidi ya 10. Unga/nanunua. Kilo tano 9000 so hapa nikimagazijuto ni kama 2000 per day.
Jumla 13,000.
 
Maisha yanazidi kuwa magumu ukiwa na familia ya watoto wawili ukitaka kula nyama uwe na sio chini ya elfu 30.
Nyama kilo 10000
Michele kilo 2, 6000
Mkaa 5000
Nyanya, vitunguu, carrot, mafuta 5000
Chai asubuhi 5000.
Hapo hujaweka tunda lolote.
Vijana mjipange kabla ya kuamua kuanzisha familia
Acha kupotosha watu ww kila mmoja wetu ana hesabu zake. Naona umepiga mahesabu kama mtu aliekaa sebuleni kwa shemeji yake.... Mbali na hapo kama ww ni baba wa familia maendeleo kwako utayaskia kwenye bomba
 
Mimi nina same family size budget yangu ni hii
-Nyama kilo 1 (10,000) nakula mara tatu so hapa nikiamua kula siku nzima nyama nakula 6k
  • ubwabwa kilo moja = 2,000
  • mkaa 2000
  • korokocho zote (mafuta, chumvi, carrot n.k 3000)
Chai ya asubuhi wanapika vitafunwa so wakinunua unga kilo moja wanakula almost siku tatu vyapati zaidi ya 10. Unga/nanunua. Kilo tano 9000 so hapa nikimagazijuto ni kama 2000 per day.
Jumla 13,000.
Mkuu mambo ni mahesabu tu
 
😀😀😀😀😀 hizo egg chop labda nipike mwenyewe za kununua nehinehi

mihogo ya jero inanitosha 500

mchana ndizi 3 na mshika 1 2000

jioni tikitiki la 500
Sasa ukipika wewe hiyo elf 3 itakutoshaje?
Bro chizi ana chekesha ikiwa hatoki kwenu.
👉For real 700 Ina last day kabisa, na hata chai sinywi for real🤒
Hiyo 700 unasubiri jioni unywe supu ya ngozi ya ngome au utumbo wa kuku??
 
Mtoa mada muwe mnajitahidi kununua vitu vya jumla, mfano vya kukaa week nzima na kuendelea,
Hiyo inapunguza sana hizo gharama za hapo kati zisizo na ulazima,

Halafu mchele kilo mbili kila siku..?? Nyama kilo moja kila siku..?? Kwa hiyo idadi ya watu..?
 
Back
Top Bottom