Chakula kwa siku Tsh 30,000

Chakula kwa siku Tsh 30,000

Maisha yanazidi kuwa magumu ukiwa na familia ya watoto wawili ukitaka kula nyama uwe na sio chini ya elfu 30.
Nyama kilo 10000
Michele kilo 2, 6000
Mkaa 5000
Nyanya, vitunguu, carrot, mafuta 5000
Chai asubuhi 5000.
Hapo hujaweka tunda lolote.
Vijana mjipange kabla ya kuamua kuanzisha familia
Unafanya kazi kwa mchina 6000-day...! Unapiga mahesabu ya chakula tu..
Hicho Ndicho unachokiwazia tu!...

Pambana na hali yako mkuu... to the status quo!!
 
Tanga 30000 ni kubwa sana

Mchele super ni 3000 kilo ambayo wa 4 wanakula

mafuta robo 900

Viungo vyote 5000

Mboga hio nyama 7000(optional)

Mkaa wa 2 000 unapika siku mbili
matunda ndizi za 1000

nazan ukiwa na 15000 inatosha

nivizur kununua vitu kwa jumla sio kila siku gharama zinakua kubwa
 
Tanga 30000 ni kubwa sana

Mchele super ni 3000 kilo ambayo wa 4 wanakula

mafuta robo 900

Viungo vyote 5000

Mboga hio nyama 7000(optional)

Mkaa wa 2 000 unapika siku mbili
matunda ndizi za 1000

nazan ukiwa na 15000 inatosha

nivizur kununua vitu kwa jumla sio kila siku gharama zinakua kubwa
Tanga Gharama ni nafuu, nime kaa pale kwa muda Kama wiki 2.
👉 Amazing mno🤒
 
Ripoti ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT) ya ufanisi wa uchumi wa kikanda iliyotolewa Oktoba 5 mwaka jana ilionyesha wastani wa kipato cha m-Tanzania mmoja mmoja ni Tshs. 2,840,000 kwa mwaka yaani ni sawa na Tshs. 7,800 kwa siku.

Jombaa, hiyo Tshs. 30,000 kwa siku unaizungumzia Tanzania ipi? Hii hii ya watu wenye wastani wa kipato cha siku cha Tshs. 7,800? Wa-Tanzania gani hao wanatumia mkaa wa Tshs. 5,000 kila siku? Nyama ya Tshs. 10,000 kila siku? Wewe unazungumzia 10% ya Wa-Tanzania wenye uchumi mzuri.
 
Maisha yanazidi kuwa magumu ukiwa na familia ya watoto wawili ukitaka kula nyama uwe na sio chini ya elfu 30.
Nyama kilo 10000
Michele kilo 2, 6000
Mkaa 5000
Nyanya, vitunguu, carrot, mafuta 5000
Chai asubuhi 5000.
Hapo hujaweka tunda lolote.
Vijana mjipange kabla ya kuamua kuanzisha familia
Wajinga hawatakuelewa
 
Tanga Gharama ni nafuu, nime kaa pale kwa muda Kama wiki 2.
👉 Amazing mno🤒
Mara ya kwanza nafika Tanga nilishanga sana vyakula bei chin sana even kwa mama ntilie

Nilienda sehem moja wanauza ugali 500 na mboja majani hahaha hii mwaka jana mwenz wa kumi

supu hadi ya 500 ipo 😂 mi nahis ukisha zoea maisha ya dar mikoan utaona wanaenjoy san
 
Back
Top Bottom