Chakula maalumu cha usiku kwa ajili matajiri wanunuzi wa Cryptocurrency ya Trump chalalamikiwa kuwa duni.

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Juzi Rais wa Marekani DJT alifanya hafla katika club yake ya golf na kuwaandalia chakula cha usiku matajiri zaidi ya 200 waliowekeza zaidi ya $milioni moja kwa kichwa katika Crypto currency yake ya memecoin.

Hata hivyo chakula hicho kimelalamikiwa kwamba kilikuwa duni sana ukilinganisha na hadhi ya matajiri na pesa walizonunua memecoin ya Trump.
Huu hapa ndio msosi wenyewe waliopewa.
20250524_105507.jpg
 
View attachment 3343722
Wageni walitarajia gala dinner ya kiwango cha juu wakaishia kula finger foods. 😂
 
Juzi Rais wa Marekani DJT alifanya hafla katika club yake ya golf na kuwaandalia chakula cha usiku matajiri zaidi ya 200 waliowekeza zaidi ya $milioni moja kwa kichwa katika Crypto currency yake ya memecoin.

Hata hivyo chakula hicho kimelalamikiwa kwamba kilikuwa duni sana ukilinganisha na hadhi ya matajiri na pesa walizonunua memecoin ya Trump.
Huu hapa ndio msosi wenyewe waliopewa.
View attachment 3343722
Hicho chakula gani jamani anayejua anifahamishe
 
Trump huwa anajiona ni mtu namba moja kwa hadhi hapa duniani.

Jamaa anadharau, siku za nyuma alisema haifahamu Kongo, lakini juzi akiwa na Ramaphosa kaitaja Kongo vizuri tu kuonesha anaifahamu.
 
Mwee,hapo kuna Kibagia cha dengu,yai moja,karoti za kuchemsha,hicho cha kijani sijuwi ni nini,alaf hapo kuna sijuwi tende au haluwa na pilipili ya ukwaju kwa chini,.Damn Trump kawalisha watu msosi wa kula kwa Fatherchurch
 
Hicho cha kijani ni kama boga la zucchini.
 
Juzi Rais wa Marekani DJT alifanya hafla katika club yake ya golf na kuwaandalia chakula cha usiku matajiri zaidi ya 200 waliowekeza zaidi ya $milioni moja kwa kichwa katika Crypto currency yake ya memecoin.

Hata hivyo chakula hicho kimelalamikiwa kwamba kilikuwa duni sana ukilinganisha na hadhi ya matajiri na pesa walizonunua memecoin ya Trump.
Huu hapa ndio msosi wenyewe waliopewa.
View attachment 3343722
ukute wageni wenyew walikua wanyamwez
 
Ila matajiri nao waroho,mbona msosi uko vizuri tu,ingawa najuwa mimi nikila hapo lazima nipate mchafuko wa tumbo...
 
Labda Wasukuma mkuu ndiyo ingekuwa kipengele zaidi, maana hapo wangekuwa wanafikiria wameletewa mboga tu kwa hiyo wanasubiria msosi wenyewe, kumbe ndio imeisha hivyo.
hahahaha! mgeni wa kisukuma ukitaka arudi kwao mapema bajet chakula au chakula laini.
 
Juzi Rais wa Marekani DJT alifanya hafla katika club yake ya golf na kuwaandalia chakula cha usiku matajiri zaidi ya 200 waliowekeza zaidi ya $milioni moja kwa kichwa katika Crypto currency yake ya memecoin.

Hata hivyo chakula hicho kimelalamikiwa kwamba kilikuwa duni sana ukilinganisha na hadhi ya matajiri na pesa walizonunua memecoin ya Trump.
Huu hapa ndio msosi wenyewe waliopewa.
View attachment 3343722
Trump is a character. Yaani US inatawaliwa kama banana republic katika karne ya 21!
 
Juzi Rais wa Marekani DJT alifanya hafla katika club yake ya golf na kuwaandalia chakula cha usiku matajiri zaidi ya 200 waliowekeza zaidi ya $milioni moja kwa kichwa katika Crypto currency yake ya memecoin.

Hata hivyo chakula hicho kimelalamikiwa kwamba kilikuwa duni sana ukilinganisha na hadhi ya matajiri na pesa walizonunua memecoin ya Trump.
Huu hapa ndio msosi wenyewe waliopewa.
View attachment 3343722
Afadhali hata ule wa Mwamba Magufuli Ikulu wa juisi na pipi tena pipi anagawa mwenyewe Mwamba!!!
 
Back
Top Bottom