Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam bwana Chalamila ameanza kazi kwa kasi ya ajabu huku akitumia usafiri wa Bajaj kuwafikia Wananchi ili kusikiliza kero zao.
Mapema leo jioni bwana Chalamila ameonekana maeneo ya Mwenge akizungumza na wafanyabiashara ndogo ndogo kutaka kufahamu changamoto zao.
Akiwa ndani ya Bajaj, RC Chalamila alielekea Kawe Kilipo kituo cha kurusha matangazo CLOUDS.