Chalamila aanza kwa kishindo! Atumia usafiri wa bajaj

Anatafuta Kiki kwa pikipiki.

Uchawa, unafiki na kujipendekeza.
Anasikiliza Kero zao unafikiri yuko kama Godless Lema anayetukana tu wenye .biashara za pikipiki za bodaboda kuwa ni laana

Chalamila anapanda awasikilize Kero zao akiwa kwenye bodabdoa na aone kwa macho changamoto wanazokutana nazo barabarani live kwa macho atatue

Nyie Chadema endeleeni kupanda chopa hizo helicopter mumekodi na kutembea na maprado yenu huku mukiendelea kutukana bodaboda kuwa kazi ya laana Mwacheni Chalamila ahangaike na hao mnawaita wamelaaniwa kwani hata waliolaaniwa ni watu wanastahili kuishi na kupata riziki
 
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam bwana Chalamila ameanza kazi kwa kasi ya ajabu huku akitumia usafiri wa Bajaj kuwafikia Wananchi ili kusikiliza kero zao.

Mapema leo jioni bwana Chalamila ameonekana maeneo ya Mwenge akizungumza na wafanyabiashara ndogo ndogo kutaka kufahamu changamoto zao.

Akiwa ndani ya Bajaj, RC Chalamila alielekea Kawe Kilipo kituo cha kurusha matangazo CLOUDS.
View attachment 2625319
Circus
 
Agwee naisogola kweli wachawi noma
Maana ya maneno hayo ya mwanzo ninini? Nakumbuka mwalimu wetu wa sunday school enzi hizo alitufundisha wimbo unaanzia na “Anne aisogolaaa” sijui nini nini sikumbuki, yule mwalimu nadhani alikuwa mtu wa Iringa.
 
Samahani naomba kuuliza, hivi wakuu wa mikoa wana nguvu sana kuliko hizi Mamlaka? Na kama ni ndio ni sahihi kweli?
Mkuu wa mkoa anamuwakilisha raisi kwenhe mkoa husika. Ni mkuu wa ulinzi na usalama wa mkoa husika.
Viongozi wengi wapo chini yake wakiwepo wabunge wa mkoa husika.

Na ndio mamlaka anayo japo wengine huvuka mipaka.
 
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam bwana Chalamila ameanza kazi kwa kasi ya ajabu huku akitumia usafiri wa Bajaj kuwafikia Wananchi ili kusikiliza kero zao.

Mapema leo jioni bwana Chalamila ameonekana maeneo ya Mwenge akizungumza na wafanyabiashara ndogo ndogo kutaka kufahamu changamoto zao.

Akiwa ndani ya Bajaj, RC Chalamila alielekea Kawe Kilipo kituo cha kurusha matangazo CLOUDS.
View attachment 2625319

Maigizo yameanza
 
Mbwembwe za wanasiasa hiz 🤣🤣🤣 wengine walikuja na mbwembwe za kupanda daladala, baiskeli, guta 🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom