Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
PichaMkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam bwana Chalamila ameanza kazi kwa kasi ya ajabu huku akitumia usafiri wa Bajaj kuwafikia Wananchi ili kusikiliza kero zao.
Mapema leo jioni bwana Chalamila ameonekana maeneo ya Mwenge akizungumza na wafanyabiashara ndogo ndogo kutaka kufahamu changamoto zao.
Akiwa ndani ya Bajaj, RC Chalamila alielekea Kawe Kilipo kituo cha kurusha matangazo CLOUDS.
Picha ipo wapi tuone hiyo bar jajiMkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam bwana Chalamila ameanza kazi kwa kasi ya ajabu huku akitumia usafiri wa Bajaj kuwafikia Wananchi ili kusikiliza kero zao.
Mapema leo jioni bwana Chalamila ameonekana maeneo ya Mwenge akizungumza na wafanyabiashara ndogo ndogo kutaka kufahamu changamoto zao.
Akiwa ndani ya Bajaj, RC Chalamila alielekea Kawe Kilipo kituo cha kurusha matangazo CLOUDS.
[emoji38][emoji38][emoji38]Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam bwana Chalamila ameanza kazi kwa kasi ya ajabu huku akitumia usafiri wa Bajaj kuwafikia Wananchi ili kusikiliza kero zao.
Mapema leo jioni bwana Chalamila ameonekana maeneo ya Mwenge akizungumza na wafanyabiashara ndogo ndogo kutaka kufahamu changamoto zao.
Akiwa ndani ya Bajaj, RC Chalamila alielekea Kawe Kilipo kituo cha kurusha matangazo CLOUDS.View attachment 2624495
Anee naisogola, SAFWA language😆😆😆Agwee naisogola kweli wachawi noma
Morogoro ukianza kazi tu uongozi wa wafugaji Wamasai wanakuja ofisini kujitambulisha wakiwa na Zawadi ya mguu wa Ng'ombe uliochomwa vizuri kimasai na bahasha ya kaki A4 ndani ina mzigo, sasa kazi ni kwako utatetea wakulima au wafugaji?Achape Kazi Dar Es Salaam Ndiyo Tanzania Pia Ajue Akifanya Mchezo Anapoteza Tumbua
Adam Malima Kazi Anayo Morogoro Pagumu Kuliko Dar Hasa Akikumbuka Kuporwa Mjegeje SMG, Ndiyo Maana Kuna Serikali Long Time Ikaweka Vikosi Hatari Vya JW Mzinga, Ngerengere, Komando
Nemc atawafanya nini?NEMIKI wajiandae Kisaikojia.....