Chalamila aanza kwa kishindo! Atumia usafiri wa bajaj

Sound as police state!,means yeye yupo above traffic laws!,Tanzania nchi ya vituko sana, kesho RC akitoa tamko la kuvaa helmet akiwa ignored ajue yeye ndiye aliyeanza kunajisi sheria
Mkuu una "mbango" [emoji1787][emoji1787]
 
Anatafuta Kiki kwa pikipiki.

Uchawa, unafiki na kujipendekeza.
 
Muda si mrefu yatamshinda. Labda kama anaendana na bwana yule na akubali kulinda maslahi ya bwana yule.
Mpiga ramli Likahanga.....

Ameanza tu kazi unamletea "negativity"?!!! [emoji1787][emoji1787]
 
Sound as police state!,means yeye yupo above traffic laws!,Tanzania nchi ya vituko sana, kesho RC akitoa tamko la kuvaa helmet akiwa ignored ajue yeye ndiye aliyeanza kunajisi sheria
Hivi kumbe wwe kutoka Kanda ilee! Sasa Bajaji na helmet wapi na wapi!? Au chuki zako tu kwa Chalamila zinakusumbua!?
 
umesahau pangawe, chita, sanga sanga ,
 
Chalamila amekuwa center attention ya macho ya wengi kwa sasa sababu ameteuliwa kuwa Mkuu Wa mkoa jiji LA kibiashara LA Dar na wengi wataongea mengi kuhusiana na cho chochote kile atakachokuwa anafanya hata akitema mate kwa sasa INA kuwa ni habari.
 
Ila mama kawapatia sana watu wa Dar, wanapenda sana mipasho ndio maana mama kagundua ni kuwaletea watu wa mipasho na makeke mengi. Simnamkumbula makonda vs kunenge. Makala vs Chalamila
 
Daslam ndo wanapenda viongozi wanaotrend insta kama hao, full matamko.

Anavoipenda gambe hao nemc wajitafakari
Samahani naomba kuuliza, hivi wakuu wa mikoa wana nguvu sana kuliko hizi Mamlaka? Na kama ni ndio ni sahihi kweli?
 
Huyo ndiyo Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama Mkoa wa DSM,hapo full ulinzi,usiwe na shaka Kijana!!
Waziri mkuu wa Uingereza na RC nani mwenye ulinzi mkali? Sunak alipigwa faini kwa kutokuvaa mkanda.
 
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam bwana Chalamila ameanza kazi kwa kasi ya ajabu huku akitumia usafiri wa Bajaj kuwafikia Wananchi ili kusikiliza kero zao.
Atakata pumzi soon
 
Maigizo hayaishi
 
Waziri mkuu wa Uingereza na RC nani mwenye ulinzi mkali? Sunak alipigwa faini kwa kutokuvaa mkanda.
Hivi wwe kumbe unavalishwa helmet hadi kwenye Bajaji!? Helemet ni kwenye Bodaboda na si Bajaji! Kwa hiyo Chalamila yuko right!!
 
Wewe acha tu, siku hizi naona hata aibu kuingia JM! Jamvi letu pendwa limekuwa kama kokoro, linazoa tu!
Upo sahihi, Mwalimu. Nadhani Moderators wanaelemewa na kazi, tuwaombee wawe na nguvu ya kuimudu kazi vilivyo.
 
Tuna danganyika na vitu vidogo sana
 
Morogoro ukianza kazi tu uongozi wa wafugaji Wamasai wanakuja ofisini kujitambulisha wakiwa na Zawadi ya mguu wa Ng'ombe uliochomwa vizuri kimasai na bahasha ya kaki A4 ndani ina mzigo, sasa kazi ni kwako utatetea wakulima au wafugaji?
Duh! Aisee! Kweli moro kutamu! Ila kugumu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…