Anasikiliza Kero zao unafikiri yuko kama Godless Lema anayetukana tu wenye .biashara za pikipiki za bodaboda kuwa ni laanaAnatafuta Kiki kwa pikipiki.
Uchawa, unafiki na kujipendekeza.
CircusMkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam bwana Chalamila ameanza kazi kwa kasi ya ajabu huku akitumia usafiri wa Bajaj kuwafikia Wananchi ili kusikiliza kero zao.
Mapema leo jioni bwana Chalamila ameonekana maeneo ya Mwenge akizungumza na wafanyabiashara ndogo ndogo kutaka kufahamu changamoto zao.
Akiwa ndani ya Bajaj, RC Chalamila alielekea Kawe Kilipo kituo cha kurusha matangazo CLOUDS.
View attachment 2625319
Maana ya maneno hayo ya mwanzo ninini? Nakumbuka mwalimu wetu wa sunday school enzi hizo alitufundisha wimbo unaanzia na “Anne aisogolaaa” sijui nini nini sikumbuki, yule mwalimu nadhani alikuwa mtu wa Iringa.Agwee naisogola kweli wachawi noma
Mkuu wa mkoa anamuwakilisha raisi kwenhe mkoa husika. Ni mkuu wa ulinzi na usalama wa mkoa husika.Samahani naomba kuuliza, hivi wakuu wa mikoa wana nguvu sana kuliko hizi Mamlaka? Na kama ni ndio ni sahihi kweli?
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam bwana Chalamila ameanza kazi kwa kasi ya ajabu huku akitumia usafiri wa Bajaj kuwafikia Wananchi ili kusikiliza kero zao.
Mapema leo jioni bwana Chalamila ameonekana maeneo ya Mwenge akizungumza na wafanyabiashara ndogo ndogo kutaka kufahamu changamoto zao.
Akiwa ndani ya Bajaj, RC Chalamila alielekea Kawe Kilipo kituo cha kurusha matangazo CLOUDS.
View attachment 2625319
Jiji lilipoaMaigizo yameanza
Mbwembwe za wanasiasa hiz 🤣🤣🤣 wengine walikuja na mbwembwe za kupanda daladala, baiskeli, guta 🤣🤣🤣🤣Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam bwana Chalamila ameanza kazi kwa kasi ya ajabu huku akitumia usafiri wa Bajaj kuwafikia Wananchi ili kusikiliza kero zao.