Pre GE2025 Chalamila acha mapepe, watu wakiumizwa utafukuzwa wewe kuwa makini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ulevi wa kupindukia ni kitu hatari sana
Ndio maana unapigwa marufuku!
Ila pia huyu mtu hekima na busara kichwani mh!
 
Watanzania wote tuseme "hatuwezi kuwa ngazi au punda kwa viongozi wa chadema wenye ubinafsi wa kutengeneza njia zao za vipato kupitia sisi punda"
""TUMECHOKA KUSWAGWA KAMA NGOMBE KWA MASLAHI YA WATU WASIOZIDI 6 WANAOTAKA KUTUSWAGA KWA MASLAHI YAO ""
 
"VIPO BAADHI YA VIFUNGU NDANI YA KATIBA YETU SIO RAFIKI KWA SIASA ZA AFRIKA, HASA KUTOKANA LOW I. Q, YA WATU WAKE, VIFUNGU HIVYO HUWEZA KULIGEUZA TAIFA LIKAWA LA AJABU NA HOVYO KABISA, MWENDAZAKE ALILIWEZA HILI, HASA VIFUNGU VYA MAANDAMANO YA KIPUUZI PUUZI, KWANZA TUKUMBUKE AFRIKA INAKABILIWA NA UMASIKINI MKUBWA SANA NA MARA NYINGI UMASIKINI NA NJAA HUONDOA AKILI NA WAKATI MWINGINE USTAARABU, WATU KUFANYA MAMBO YA HOVYO KISA KUKATA TAMAA YA MAISHA, HIVYO NAPENDEKEZA KIFUNGU KINACHORUHUSU MAANDAMANO KIANGALIWE UPYA AIDHA KIFUTWE, NA SEREKALI IJIBIDISHE KATIKA KUTENGENEZA MAZINGIRA BORA KWA MTANZANIA WA CHINI, WENZETU ULAYA WAKIANDAMANA HUWA SI SABABU YA NJAA, BALI KWA MAMBO YENYE UZITO WA KINA HUKU AKILI ZIKIWA ZIMETULIA,WAKIWA NA VIPATO VYA KUTOSHA, HUKU WAMESHIBA.
 
Watanzania wana akili timamu nani akaandamane Majeshi yakifanya usafi ?watangulie watoto wa lema na mke wake,watoto wa mbowe na mke wake ,watoto wa lisu na mke wake ,kisha wote mbowe ,lisu,mnyika,mrema wawe msitari wa mbele sisi tutafuata HAKUNA BOYA.Wanapiga kelele halafu wanakaa nyuma wa keyboard ⌨️⌨️⌨️
 
Reactions: Tui
Maccm wote hamna akili
 

Attachments

  • JamiiForums1389173211.jpeg
    24.6 KB · Views: 3

Wewe kalisha matako yako nyumbani acha watu wakatafute katiba ya kusaidia hii nchi mufilisi.
 
Ndiyo unamtisha? Kwani ulikuwepo kumshauri Rais wakati anamteua? Ageni kabisa nyumbani mnavyoenda kuandamana

Watu wamepona risasi wewe unaogopa maandamano ya amani ambayo yapo Kisheria!! Au Maandamano hayapo kisheria? Na kama yapo ni wakati gani maandamano yanaruhusiwa!
 
Heeeh... Leo wamekukuta mwajuma ndala ndefu... Waaambie dada....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…