Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kashapewa maelekezo kutoka juuMkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Albert Chalamila siku ya leo akiwa kwenye mkutano na baadhi ya maaskari, ameliomba Jeshi La Polisi kuisaidia serikali kipindi cha uchaguzi wa serikali za mitaa.
Chalamila amesema kuwa analiomba Jeshi La Polisi kushugulika na watu wote watakaopinga matokeo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na kuongeza kuwa uwepo wa sera ya 4R ya Rais Samia haimaanishi kuwa maji ya washawasha na mabomu ya machozi havitatumika
Soma pia: RC Chalamila: Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Utafanyika katika Mitaa yote 564 ya Dar kwa Uhuru na Haki
"Tunakumbushana kuwa Taifa letu sasa Tarehe 27 mwezi wa 11 na hapa hatuombi vyombo vya dola vikasaidie kubadilishe matokeo hapana. Tunaomba vyombo vya dola viwe imara zaidi ili matokeo yatakapotangazwa ili kwa mtu ambaye hatakubali na ni kweli amefeli basi ashughulikiwe kwa mujibu wa taratibu"
Aliongeza kwa kusema:
"Unataka mabadiliko kuna muda lazima ka mkono ka nguvu kanahitajika. Kwa hiyo hizi 4R za Mheshimiwa Rais ambazo zinatajwa watu wasitafsiri kama bunduki haipo, bomu halipo, maji ya washawasha hayapo. Huwezi kujitenga namna hiyo"
Una maoni kuhusu kauli hii ya mkuu wa mkoa? Binafsi naona imekaa kimtego?
Kwani wagombea sio wananchi?Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Albert Chalamila siku ya leo akiwa kwenye mkutano na baadhi ya maaskari, ameliomba Jeshi La Polisi kuisaidia serikali kipindi cha uchaguzi wa serikali za mitaa.
Chalamila amesema kuwa analiomba Jeshi La Polisi kushugulika na watu wote watakaopinga matokeo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na kuongeza kuwa uwepo wa sera ya 4R ya Rais Samia haimaanishi kuwa maji ya washawasha na mabomu ya machozi havitatumika
Soma pia: RC Chalamila: Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Utafanyika katika Mitaa yote 564 ya Dar kwa Uhuru na Haki
"Tunakumbushana kuwa Taifa letu sasa Tarehe 27 mwezi wa 11 na hapa hatuombi vyombo vya dola vikasaidie kubadilishe matokeo hapana. Tunaomba vyombo vya dola viwe imara zaidi ili matokeo yatakapotangazwa ili kwa mtu ambaye hatakubali na ni kweli amefeli basi ashughulikiwe kwa mujibu wa taratibu"
Aliongeza kwa kusema:
"Unataka mabadiliko kuna muda lazima ka mkono ka nguvu kanahitajika. Kwa hiyo hizi 4R za Mheshimiwa Rais ambazo zinatajwa watu wasitafsiri kama bunduki haipo, bomu halipo, maji ya washawasha hayapo. Huwezi kujitenga namna hiyo"
Una maoni kuhusu kauli hii ya mkuu wa mkoa? Binafsi naona imekaa kimtego?
Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Albert Chalamila siku ya leo akiwa kwenye mkutano na baadhi ya maaskari, ameliomba Jeshi La Polisi kuisaidia serikali kipindi cha uchaguzi wa serikali za mitaa.
Chalamila amesema kuwa analiomba Jeshi La Polisi kushugulika na watu wote watakaopinga matokeo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na kuongeza kuwa uwepo wa sera ya 4R ya Rais Samia haimaanishi kuwa maji ya washawasha na mabomu ya machozi havitatumika
Soma pia: RC Chalamila: Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Utafanyika katika Mitaa yote 564 ya Dar kwa Uhuru na Haki
"Tunakumbushana kuwa Taifa letu sasa Tarehe 27 mwezi wa 11 na hapa hatuombi vyombo vya dola vikasaidie kubadilishe matokeo hapana. Tunaomba vyombo vya dola viwe imara zaidi ili matokeo yatakapotangazwa ili kwa mtu ambaye hatakubali na ni kweli amefeli basi ashughulikiwe kwa mujibu wa taratibu"
Aliongeza kwa kusema:
"Unataka mabadiliko kuna muda lazima ka mkono ka nguvu kanahitajika. Kwa hiyo hizi 4R za Mheshimiwa Rais ambazo zinatajwa watu wasitafsiri kama bunduki haipo, bomu halipo, maji ya washawasha hayapo. Huwezi kujitenga namna hiyo"
Una maoni kuhusu kauli hii ya mkuu wa mkoa? Binafsi naona imekaa kimtego?
Huyu jamaa ni mbwa. Hajielewi hadi anae mlisha atoe amriMkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Albert Chalamila siku ya leo akiwa kwenye mkutano na baadhi ya maaskari, ameliomba Jeshi La Polisi kuisaidia serikali kipindi cha uchaguzi wa serikali za mitaa.
Chalamila amesema kuwa analiomba Jeshi La Polisi kushugulika na watu wote watakaopinga matokeo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na kuongeza kuwa uwepo wa sera ya 4R ya Rais Samia haimaanishi kuwa maji ya washawasha na mabomu ya machozi havitatumika
Soma pia: RC Chalamila: Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Utafanyika katika Mitaa yote 564 ya Dar kwa Uhuru na Haki
"Tunakumbushana kuwa Taifa letu sasa Tarehe 27 mwezi wa 11 na hapa hatuombi vyombo vya dola vikasaidie kubadilishe matokeo hapana. Tunaomba vyombo vya dola viwe imara zaidi ili matokeo yatakapotangazwa ili kwa mtu ambaye hatakubali na ni kweli amefeli basi ashughulikiwe kwa mujibu wa taratibu"
Aliongeza kwa kusema:
"Unataka mabadiliko kuna muda lazima ka mkono ka nguvu kanahitajika. Kwa hiyo hizi 4R za Mheshimiwa Rais ambazo zinatajwa watu wasitafsiri kama bunduki haipo, bomu halipo, maji ya washawasha hayapo. Huwezi kujitenga namna hiyo"
Una maoni kuhusu kauli hii ya mkuu wa mkoa? Binafsi naona imekaa kimtego?
Hivi unajua kwamba RC na DC wanamwakalisha Raisi katika mamlaka yao?Polisi ni chombo cha Dola Wana mpaka zao za Uongozi, sio kila mtu awape maelekezo, DC na RC hawapo kwenye taratibu zao zaidi ya Waziri wa Mambo ya Ndani kumpa Taarifa IGP kama kuna mapungufu kwenye kituo kimojawapo cha Polisi. Rejea kauli ya Mzee Warioba hivi karibuni
Huyu kuharisha ni kawaida yake . Actually, huyu ni BATAMkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Albert Chalamila siku ya leo akiwa kwenye mkutano na baadhi ya maaskari, ameliomba Jeshi La Polisi kuisaidia serikali kipindi cha uchaguzi wa serikali za mitaa.
Chalamila amesema kuwa analiomba Jeshi La Polisi kushugulika na watu wote watakaopinga matokeo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na kuongeza kuwa uwepo wa sera ya 4R ya Rais Samia haimaanishi kuwa maji ya washawasha na mabomu ya machozi havitatumika
Soma pia: RC Chalamila: Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Utafanyika katika Mitaa yote 564 ya Dar kwa Uhuru na Haki
"Tunakumbushana kuwa Taifa letu sasa Tarehe 27 mwezi wa 11 na hapa hatuombi vyombo vya dola vikasaidie kubadilishe matokeo hapana. Tunaomba vyombo vya dola viwe imara zaidi ili matokeo yatakapotangazwa ili kwa mtu ambaye hatakubali na ni kweli amefeli basi ashughulikiwe kwa mujibu wa taratibu"
Aliongeza kwa kusema:
"Unataka mabadiliko kuna muda lazima ka mkono ka nguvu kanahitajika. Kwa hiyo hizi 4R za Mheshimiwa Rais ambazo zinatajwa watu wasitafsiri kama bunduki haipo, bomu halipo, maji ya washawasha hayapo. Huwezi kujitenga namna hiyo"
Una maoni kuhusu kauli hii ya mkuu wa mkoa? Binafsi naona imekaa kimtego?
Huyu mpumbavu akishavuta bangi anajiona yeye ndiye Rais wa nchi hii, hili domo lake lililokauka kwa kuvuta bangi linamuingiza matatani siku zote, na Rais alishamuonya kuchunga mdomo wake. Mara nyingi watu wenye vichwa modeli ya huyu mjinga wana shida sana hasa ukichanganya na bangi.Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Albert Chalamila siku ya leo akiwa kwenye mkutano na baadhi ya maaskari, ameliomba Jeshi La Polisi kuisaidia serikali kipindi cha uchaguzi wa serikali za mitaa.
Chalamila amesema kuwa analiomba Jeshi La Polisi kushugulika na watu wote watakaopinga matokeo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na kuongeza kuwa uwepo wa sera ya 4R ya Rais Samia haimaanishi kuwa maji ya washawasha na mabomu ya machozi havitatumika
Soma pia: RC Chalamila: Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Utafanyika katika Mitaa yote 564 ya Dar kwa Uhuru na Haki
"Tunakumbushana kuwa Taifa letu sasa Tarehe 27 mwezi wa 11 na hapa hatuombi vyombo vya dola vikasaidie kubadilishe matokeo hapana. Tunaomba vyombo vya dola viwe imara zaidi ili matokeo yatakapotangazwa ili kwa mtu ambaye hatakubali na ni kweli amefeli basi ashughulikiwe kwa mujibu wa taratibu"
Aliongeza kwa kusema:
"Unataka mabadiliko kuna muda lazima ka mkono ka nguvu kanahitajika. Kwa hiyo hizi 4R za Mheshimiwa Rais ambazo zinatajwa watu wasitafsiri kama bunduki haipo, bomu halipo, maji ya washawasha hayapo. Huwezi kujitenga namna hiyo"
Una maoni kuhusu kauli hii ya mkuu wa mkoa? Binafsi naona imekaa kimtego?
Tuna RC kiherehere kweli kweli hadi anafanya kazi amabazo si zake!! Aombe kuwa waziri wa TAMISEMI tujue moja.Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Albert Chalamila siku ya leo akiwa kwenye mkutano na baadhi ya maaskari, ameliomba Jeshi La Polisi kuisaidia serikali kipindi cha uchaguzi wa serikali za mitaa.
Chalamila amesema kuwa analiomba Jeshi La Polisi kushugulika na watu wote watakaopinga matokeo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na kuongeza kuwa uwepo wa sera ya 4R ya Rais Samia haimaanishi kuwa maji ya washawasha na mabomu ya machozi havitatumika
Soma pia: RC Chalamila: Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Utafanyika katika Mitaa yote 564 ya Dar kwa Uhuru na Haki
"Tunakumbushana kuwa Taifa letu sasa Tarehe 27 mwezi wa 11 na hapa hatuombi vyombo vya dola vikasaidie kubadilishe matokeo hapana. Tunaomba vyombo vya dola viwe imara zaidi ili matokeo yatakapotangazwa ili kwa mtu ambaye hatakubali na ni kweli amefeli basi ashughulikiwe kwa mujibu wa taratibu"
Aliongeza kwa kusema:
"Unataka mabadiliko kuna muda lazima ka mkono ka nguvu kanahitajika. Kwa hiyo hizi 4R za Mheshimiwa Rais ambazo zinatajwa watu wasitafsiri kama bunduki haipo, bomu halipo, maji ya washawasha hayapo. Huwezi kujitenga namna hiyo"
Una maoni kuhusu kauli hii ya mkuu wa mkoa? Binafsi naona imekaa kimtego?
Kwa hiyo wanapitia amri za ajabu ajabu wakati mwingine hata hivyo kitu hakielewi ana kuwa ametumwa na Raisi au anevuka mstari , unajua uongozi ni zaidi ya hicho cheo au Jina la nafasi iliyo nayo. Mfano unamgombeza Daktari, au Yule aliye Mwambie Dada ya watu Mimi Nina Mke mzuri la la la , hapo anamuwakilisha Raisi, Kwa hiyo taratibu zinawekwa ili kupunguza au kuondoa nafasi za MTU kwenda nje ya mstari. Au kama suala la Marehemu Kleruu na Mzee Mwamwindi huko Iringa , ukasema Kleruu alitumwa au alikuwa anamuwakilisha Raisi ipasavyo. Au Yule Dereva anayatumia utambulisho wa RC , kupata vizawadi anakuwa ana kuwakilisha Raisi.Hivi unajua kwamba RC na DC wanamwakalisha Raisi katika mamlaka yao?
Atashindwa vibaya sanaMkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Albert Chalamila siku ya leo akiwa kwenye mkutano na baadhi ya maaskari, ameliomba Jeshi La Polisi kuisaidia serikali kipindi cha uchaguzi wa serikali za mitaa.
Chalamila amesema kuwa analiomba Jeshi La Polisi kushugulika na watu wote watakaopinga matokeo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na kuongeza kuwa uwepo wa sera ya 4R ya Rais Samia haimaanishi kuwa maji ya washawasha na mabomu ya machozi havitatumika
Soma pia: RC Chalamila: Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Utafanyika katika Mitaa yote 564 ya Dar kwa Uhuru na Haki
"Tunakumbushana kuwa Taifa letu sasa Tarehe 27 mwezi wa 11 na hapa hatuombi vyombo vya dola vikasaidie kubadilishe matokeo hapana. Tunaomba vyombo vya dola viwe imara zaidi ili matokeo yatakapotangazwa ili kwa mtu ambaye hatakubali na ni kweli amefeli basi ashughulikiwe kwa mujibu wa taratibu"
Aliongeza kwa kusema:
"Unataka mabadiliko kuna muda lazima ka mkono ka nguvu kanahitajika. Kwa hiyo hizi 4R za Mheshimiwa Rais ambazo zinatajwa watu wasitafsiri kama bunduki haipo, bomu halipo, maji ya washawasha hayapo. Huwezi kujitenga namna hiyo"
Una maoni kuhusu kauli hii ya mkuu wa mkoa? Binafsi naona imekaa kimtego?
Hayuko sawa, muangalie vizuriHuyu jamaa anajiona kama dunia ni mali yake
Ova