LGE2024 Chalamila aliagiza Jeshi La Polisi kuwashughulikia wananchi watakaopinga matokeo ya Uchaguzi ujao wa Serikali Za Mitaa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Kuna baadhi ya mambo wana madaraka nayo moja kwa moja kwa niaba ya raisi,isipokuwa kutengua teuzi na baadhi ya maagizo ambayo wameelekezwa au ambayo yapo nje ya uwezo wao

Ila usiniambie kwamba wao ni wenyeviti wa kamati za usalama halafu washindwe kusimamia usalama na kutoa maagizo vyombo vya dola visichukue hatua

Ila nakiri na kukubaliana na wewe kuna baadhi madaraka yapo juu ya uwezo wao na kujikuta miungu watu,wanadharau watu na kudhalilisha watu,,hiyo sio sawa na hapo hawamwakilishi raisi vizur
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…