Pre GE2025 Chalamila aonywe, asilidharaulishe Jeshi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wapi jeshi lilipo dharaulishwa, wale sio maraia kama wewe wamefundishwa kutii amri, wewe ndio unaleta uraia wako hapa, Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ameelezea kile kamati imeona ili kupambana na kipindupindu si budi kufanya usafi.
Yaan huoni aibu kuandika hivi .sjui llwanini mishoga mnakuwaga wanafiki
 
Aliyekutuma maku yake na ndukum yako
 
Kazi kweli kweli /Job True true

View attachment 2871119
Ila mkuu wa mkoa Dar anatakiwa kuwaomba radhi jeshi la wananchi adharani kama alivyotangaza kuwa watafanya usafi adharani.
Mkuu wa Majeshi ataonekana kituko kwa maafisa waliochini yake iwapo hatotoka adharani kumwambia mkuu wa mkoa Dar kuwa yeye hana mamlaka hayo....Sema kwa vile anajipendekeza.
Chalamila hajui kuwa Waziri mkuu majaliwa aliwahi kusema kuwa Mej Generali yule aliekuwa mkuu wa MSD akamatwe mbele ya vyombo vya habari...alifuatwa akapigwa biti vibaya sana, yaani Mej Gen akamatwe wakati wao wanamadudu kibao na hawajawahi kukamatwa.
 
Wewe unaingea kama nani, yeye ni mwenyekiti wa usalama wa dar kuna maandamano huoni wakifanya usafi watazuia waandamanaji
Why if amri imetoka kwa mama? Think big mkuu usifikiri mwisho wa dar ni urafiki
Ikitoka kwa mama ndo inaanzia kwa mkuu wa mkoa then mkuu wa mkoa ndo anaishusha kwa mkuu wa majeshi? Kwani ni lazima uoneshe upunguani wako?
 
Usipoelewa alichokizungumza Chalamila, unaweza kumwona ni poyoyo.

Hiyo ratiba siyo ya kwake. Kumbuka ana timu ndogo ya usalama wa taifa humshauri kuhusu usalama wa mkoa. Hivyo hajakurupuka.

Maandamano + usafi wa mazingira utakaofanywa na majeshi ya mkoa wa Dsm, tena karibu 3000 = maumivu ya waandamanaji.

Waandamanaji eleweni hilo. Ushauri wa bure.

Asanteni kwa kunisikiliza.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Haya peleka komwe lako tarehe 24 / Januari ndiyo utajuwa maana ya Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa
Huyo ataachiwa afanye usafi, ndio maandamano yafanyike, ni kiasi cha kutwisti tarehe. Aje na yeye aseme usafi usio na kikomo.
 
Intelijensia ya CDM haijawai niangusha
 
Huyo pimbi akanywe mara moja.
 
Mkuu Chalamila asilaumiwe! Hayo yanaweza kuwa ni Maelekezo toka kwa Amiri Jeshi Mkuu!
 
Kwa ambao hamjui.. mkuu wa mkoa Ni mkuu wa usalama wa mkoa husika hivyo majeshi yote ya mkoa huo yapo chini yake
 
Nasubiri tarehe 24 nimwone captain wa JWTZ na fagio lake kariakoo shimoni - 🤪 🤪
Kawaida mno tena kawaida sana kama anaweza ku craw kwenye matope iwe kushika fagio kufagia?
 
Wewe hujsmuelewa, ameijibu Chadema, coz Chadema wametangaza maandamano tarehe 24 na yeye kasema tarehe hiyohiyo Majeshi yafanye usafi.
 
Badala ya kuandamana watalazimishwa wafsnye usafi, kauli ya kimkaksti hiyo
 
Kuna vitu huwa vina fikirisha sana kwenye utawala wa Ccm. Hivi mtu kama Chalamila ana sifa gani za kuwa Rc Dar? Una waacha watu wenye hekima na busara kama Mkuu wa mkoa wa Mara una weka kibuyu kama Chalamila Dar
Mzse Said Mtanda ni mstaarabu haamini katika vurugu, haamini katika masifa. Mh. Rais hebu tuondolee huyu jamaa Dar ana kuharibia reputation yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…