PreGE2025 Chalamila awaonya wanaopanga 'kukinukisha' kwenye kesi ya Lissu, tarehe 24

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Sijapewa username bado

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,775
Reaction score
2,891
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amewaonya wale wote wanaojianga 'kukinukisha' tarehe 24/04/2025 siku ambayo Lissu atapelekwa mahakamani.

Chalamila ametoa rai hiyo pia kwa watu ambao wameshaanza kufika mkoani Dar es salaam kwa ajili ya kesi hiyo kuwa moto wa kisheria utashuka kwa nguvu zote kwa watakaodhamiria kuharibu amani.

Aidha Chalamila ameeleza kuwa kuna watu wanafanya mizaha ili kutafuta sympathy 'huruma' kutoka kwa mataifa ya ndani na ya nje na ameeleza kuwa kiongozi yoyote asiyetii matwaka ashughulikiwe kwa mujibu wa sheria.

​
 
Toka lini kwenda mahakamani kusikiliza kesi ni kufanya vurugu? Watu wameumizwa na mwenyekiti wao kukamatwa ila hata kwenda kuventilate hamtaki, haya mambo yalisababisha mpaka watu watafute plan b ya kumuondoa mtu fulani, sadly tutarudi kule kule maana njia za demokrasia zimefeli.
 
Mwanetu Albert huwa anapenda kujizima data sana
 
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amewaonya wale wote wanaojianga 'kukinukisha' tarehe 24/04/2025 siku ambayo Lissu atapelekwa mahakamani.

Chalamila ametoa rai hiyo pia kwa watu ambao wameshaanza kufika mkoani Dar es salaam kwa ajili ya kesi hiyo kuwa moto wa kisheria utashuka kwa nguvu zote kwa watakaodhamiria kuharibu amani.

Aidha Chalamila ameeleza kuwa kuna watu wanafanya mizaha ili kutafuta sympathy 'huruma' kutoka kwa mataifa ya ndani na ya nje na ameeleza kuwa kiongozi yoyote asiyetii matwaka ashughulikiwe kwa mujibu wa sheria.

Mataifa ya ndani ni yepi hayo?
 
Juha sana huyu
 
Huyo RC ana mamlaka ya kuzuia watu kwenda kusikiliza kesi mahakamani?.
Tatizo wanapewa vyeo wanajiona miungu.
 
Back
Top Bottom