Jamaa ana kichwa kama cha UBOHOOMkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amewaonya wale wote wanaojianga 'kukinukisha' tarehe 24/04/2025 siku ambayo Lissu atapelekwa mahakamani.
Chalamila ametoa rai hiyo pia kwa watu ambao wameshaanza kufika mkoani Dar es salaam kwa ajili ya kesi hiyo kuwa moto wa kisheria utashuka kwa nguvu zote kwa watakaodhamiria kuharibu amani.
Aidha Chalamila ameeleza kuwa kuna watu wanafanya mizaha ili kutafuta sympathy 'huruma' kutoka kwa mataifa ya ndani na ya nje na ameeleza kuwa kiongozi yoyote asiyetii matwaka ashughulikiwe kwa mujibu wa sheria.
When?Time will tell, mark my words.
Kwani watakua wamevunja asheria gani? Kwanini viongozi watanzania wanaiashi kwa vitiasho, bila kutumia reasoningMkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amewaonya wale wote wanaojianga 'kukinukisha' tarehe 24/04/2025 siku ambayo Lissu atapelekwa mahakamani.
Chalamila ametoa rai hiyo pia kwa watu ambao wameshaanza kufika mkoani Dar es salaam kwa ajili ya kesi hiyo kuwa moto wa kisheria utashuka kwa nguvu zote kwa watakaodhamiria kuharibu amani.
Aidha Chalamila ameeleza kuwa kuna watu wanafanya mizaha ili kutafuta sympathy 'huruma' kutoka kwa mataifa ya ndani na ya nje na ameeleza kuwa kiongozi yoyote asiyetii matwaka ashughulikiwe kwa mujibu wa sheria.
Yeah, hivi vinyumbu visivyo na akili bila hekaheka vitakuchezea sharubu. Wajinga wajinga watakaojitokeza wapigwe shoo Moja Kali sana adabu ichukue mkondo wake. Nafurahi tu kuona kwamba hizi kelele zipo hapa jf na FB tu basi lakini Huku uraiani hapatikani hata mtu kudadeki, wako bize wanatafuta mafekeche tu. Waandamane na familia zao.ila chalamila ana heka heka sana
Of course it will, in 3025.Time will tell, mark my words.
Kwa maoni yangu kwenda mahakamani kusikiliza kesi sijajua kama ni kuvunja amani! Kikubwa ni kuwaruhusu watu waende coz hakuna mtu anashida na kufanya fujo yyt! Polisi waimarishe ulinziMkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amewaonya wale wote wanaojianga 'kukinukisha' tarehe 24/04/2025 siku ambayo Lissu atapelekwa mahakamani.
Chalamila ametoa rai hiyo pia kwa watu ambao wameshaanza kufika mkoani Dar es salaam kwa ajili ya kesi hiyo kuwa moto wa kisheria utashuka kwa nguvu zote kwa watakaodhamiria kuharibu amani.
Aidha Chalamila ameeleza kuwa kuna watu wanafanya mizaha ili kutafuta sympathy 'huruma' kutoka kwa mataifa ya ndani na ya nje na ameeleza kuwa kiongozi yoyote asiyetii matwaka ashughulikiwe kwa mujibu wa sheria.
Anaathirika na kuvuta bangi! Alipata kuwa RC kama zawadi ya kumuibia kura za ubunge Tulia Kule Mbeya! Hastahili huo wadhifa 😂😂Mwanetu Albert huwa anapenda kujizima data sana