Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
RC hivi uwa unapata muda wa kujisomea notice binafsiView attachment 3312653
Wadogo zetu hawauzi uduvi Wana subiri kuolewa ndugu Alubati.
Mwanetu Albert huwa anapenda kujizima data sanaToka lini kwenda mahakamani kusikiliza kesi ni kufanya vurugu? Watu wameumizwa na mwenyekiti wao kukamatwa ila hata kwenda kuventilate hamtaki, haya mambo yalisababisha mpaka watu watafute plan b ya kumuondoa mtu fulani, sadly tutarudi kule kule maana njia za demokrasia zimefeli.
Kwanini mkuu?RC hivi uwa unapata muda wa kujisomea notice binafsi
Mataifa ya ndani ni yepi hayo?Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amewaonya wale wote wanaojianga 'kukinukisha' tarehe 24/04/2025 siku ambayo Lissu atapelekwa mahakamani.
Chalamila ametoa rai hiyo pia kwa watu ambao wameshaanza kufika mkoani Dar es salaam kwa ajili ya kesi hiyo kuwa moto wa kisheria utashuka kwa nguvu zote kwa watakaodhamiria kuharibu amani.
Aidha Chalamila ameeleza kuwa kuna watu wanafanya mizaha ili kutafuta sympathy 'huruma' kutoka kwa mataifa ya ndani na ya nje na ameeleza kuwa kiongozi yoyote asiyetii matwaka ashughulikiwe kwa mujibu wa sheria.
Juha sana huyuMkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amewaonya wale wote wanaojianga 'kukinukisha' tarehe 24/04/2025 siku ambayo Lissu atapelekwa mahakamani.
Chalamila ametoa rai hiyo pia kwa watu ambao wameshaanza kufika mkoani Dar es salaam kwa ajili ya kesi hiyo kuwa moto wa kisheria utashuka kwa nguvu zote kwa watakaodhamiria kuharibu amani.
Aidha Chalamila ameeleza kuwa kuna watu wanafanya mizaha ili kutafuta sympathy 'huruma' kutoka kwa mataifa ya ndani na ya nje na ameeleza kuwa kiongozi yoyote asiyetii matwaka ashughulikiwe kwa mujibu wa sheria.
Maua mkuuπππππππππππππππHovyo kabisa.
Huyu ni km yule mpuuzi alisema Mungu amshukuru Magufuli! Pumbavu kabisa!Kati ya Marc wa hovyo huyo naye yumo tena namba one
Kakinukisheni mnukeHovyo kabisa.
Naona msengerema mkuu umeamua kusimama uhesabiweTz kuna ungese sana.