PreGE2025 Chalamila awaonya wanaopanga 'kukinukisha' kwenye kesi ya Lissu, tarehe 24

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Jamaa ana kichwa kama cha UBOHOO
 
Kwani watakua wamevunja asheria gani? Kwanini viongozi watanzania wanaiashi kwa vitiasho, bila kutumia reasoning
 
ila chalamila ana heka heka sana
Yeah, hivi vinyumbu visivyo na akili bila hekaheka vitakuchezea sharubu. Wajinga wajinga watakaojitokeza wapigwe shoo Moja Kali sana adabu ichukue mkondo wake. Nafurahi tu kuona kwamba hizi kelele zipo hapa jf na FB tu basi lakini Huku uraiani hapatikani hata mtu kudadeki, wako bize wanatafuta mafekeche tu. Waandamane na familia zao.
 
Ana ukichaa huyu.....mahakama ni muhimili unaojitegemea...yeye kama nani sasa...aache upunguani
 
Kwa maoni yangu kwenda mahakamani kusikiliza kesi sijajua kama ni kuvunja amani! Kikubwa ni kuwaruhusu watu waende coz hakuna mtu anashida na kufanya fujo yyt! Polisi waimarishe ulinzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…