evangelical
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 5,035
- 8,218
Kwenye leseni za biashara hakuna sehemu au kifungu kinachomkataza mtu kufunga biashara yake. Sana sana ukitaka kufunga biashara yako unaandika barua kwenye mamlaka waliyokupa leseni kama ni halmashauri au tra ili wasikutoze kodi ila hulazimishwi kufungua biashara yako.Unajua masharti ya Leseni? Kama unadhani biashara Ni binafsi si ufungue duka chumbani kwako na mumeo?
Watu wengine mnakoment ujinga tu mbona baadhi ya wafanyabiashara wanafunga maduka yao miezi ya 12 wanakwenda likizo hawashurutishwi.
Hao wacha wafunge tu kwani wana madai yao ya msingi Kassim Majaliwa alishaenda kuwasikiliza ila akawafanyia siasa wacha wafunge tuone kati ya serikali na wafanyabuashara nani mbabe
