Gift mzalendo
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 1,856
- 2,417
Maskini Wana roho mbaya sanaPiga wote hao Wana tamaa sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maskini Wana roho mbaya sanaPiga wote hao Wana tamaa sana
Ulipewa leseni ili ufunge biashara?Duh wabongo na roho zao
Ivi Kuna MTU anapenda kufunga Biashara yake
Unajua kwanini wamefunga ?Ulipewa leseni ili ufunge biashara?
Kumbe unajua watu wanajitoa muhanga ,Je Rushwa imeisha?Anayekula rushwa Ina maana kajitoa mhanga. Wananyongwa mawaziri sembuse wewe. Nani anahujumu uchumi, kufunga duka au mgomo sio uhujumu uchumi. Hakuna kosa Kama Hilo.
Anawachekea ndio maana mnamuona hivyo.Tunamsihi awashughulikie.Samiah anakuchekea wewe labda. Kwangu namuona Kama incapable leader.
Toa upumbavu wako hapa,unadanganya nani? Huku mpanda tunaagiza mizigo Uganda hiyo Kariakoo Yako nani anaijua?Eti nini?
Inchi za jirani zenyewe haziendi bila kariakoo, bwashee kariakoo ni habari ingine kabisa
We subiri tu uone serikali itakavyohangaika
Sasa bidhaa zitafikaje mikoani au wanawanyang'anya na PESA zao,wanawapa wana-LUMUMBA,ngoma ya UKAE,waendeleze biashara?Hivi Serikali ikiamua kuwafutia leseni wafanyabiashara wote waliogoma ikizingatiwa tin namba zinasoma na wapigwe marufuku kokote kufanya biashara Kwa sababu za uhujumu uchumi kwani watafanya nini?
Kariakoo ni kiwanda au Gulio? Wanaoigwa Pini hapo Kariakoo na wanakamatwaSasa bidhaa zitafikaje mikoani au wanawanyang'anya na PESA zao,wanawapa wana-LUMUMBA,ngoma ya UKAE,waendeleze biashara?
Kiburi sio maungwana...Nenda kanunue kwingine. Hujalazimishwa kuja kariakoo
Kwani uganda wana bahari? Mizigo yao si wanapitishia kariakoo?Toa upumbavu wako hapa,unadanganya nani? Huku mpanda tunaagiza mizigo Uganda hiyo Kariakoo Yako nani anaijua?
Harafu hatuhitaji kuwa na monopoly ya watu wachache hapo Kariakoo,Wachina wamalize fasta Ubungo Logistics Centre kukomesha huu upumbavu.
Na Kwa taarifa yenu tuu Sgr ikitoboa Mwanza na Kigoma ,center zitahamia huko,hapo Kariakoo mtapauka sana
Na kupanga bei ya bidhaa utafikiri wao ndiyo wanaoendaga ng'ambo kununua mizigo.Sio siasa ila wanasiasa wanapanga mlolongo wa kodi
Walipe Kodi. Zinahitajika kununua madawa na huduma muhimu
90% inapita MombasaKwani uganda wana bahari? Mizigo yao si wanapitishia kariakoo?
Yaani kariakoo wkigoma ni labda mwende china