Kwetu kuna msemo "buli kuundi buli kumbali" (kama siyo shida yako, Iko pembeni/siyo shida yako). Hawa wafanyabiashara ni wao wanaojua mambo wanayoyapia. Ni wao wanaopata hasara kama wakifunga maduka, lakini kama wameona heri wapate hasara kuliko faida wanayoipata inayoambatana na kero wanazozilalamikia, pengine zinanazo wapa hasara na kushindwa kulipa kodi wanayotakiwa walipe, halafu hatua waliyoichukua wewe usiyopata hiyo kero/hasara, naona ni ukosefu wa consideration na kwa kiongozi ni lack of good judgement.