Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wahehe hamnaga akili ila uchawa ndio maana sisi Wakinga Huwa tunawadharau.😁😁RC Ndio serikali yenyewe bwashee
Weka ukwaju au asaliNa watoto wetu wachanga uji tuwapikie na nini? Nao tuwaambie sukari ina madhara?
Upuuzi mwingine bwana.
Kipindi cha JPM huyu tayari....Ingekuwa Zamani Angetenguliwa Chap Kazi Aliyonayo
Chalamila njoo usome hapa utapata kituuuPia awashauri wananchi kuachana na CCM.
Ni vyema Watanzania kwa umoja wetu tuitoe CCM madarakani, maana ni aibu kubwa sana kwa kweli kwa jinsi nnchi inavyoshindwa kwenye nyanja nyingi.Chalamila asema ukimsikiliza Dr. Janabi anasema ulaji wa sukari nyingi unasababisha maradhi mengi, kwahiyo wakati huu ambako sukari imeadimika tuachane nayo kabisa ili usiweze kupata matatizo ya afya hapo baadaye.
Kwahiyo serikali imeshindwa kabisa kutatua changamoto hii ya upatikaji wa sukari sasa wanatafuta 'justification' ya ukosefu huo?
Bashe ilibidi uwajibike kwa kushindwa kutatua hili hadi hali imekuwa mbaya hivi.
Pamoja na haya yote bado viongozi mnakula kwa kama zenu na hutasikia posho za wabunge zimepungua, ama wamechukua 'initiatives' za kubana matumizi ili kupunguza makali haya kwa wananchi.
Bure kabisa!
Pia anatutaka tutumie muda mwingi kwenda kwa miguu badala ya kupanda gari. Tuwashauri gari tupunguze kuzipanda ili wabunge tupishane mitaa ya kariakoo tupigane vikumboWatuleteee sukari wasikwepe uwajibikaji
Sasa kwanini serikali inatoa vibali vya ujenzi wa viwanda? Wasitishe uzalishaji wa sukari na wasiagize toka nje ili Tanzania isiwe na wagonjwa.Wakati Changamoto ya uhaba wa sukari ikizidi kushika Kasi, viongozi wamekuwa wakinukuliwa kusema watu waachane na matumizi ya Sukari Kwa sababu sio salama kiafya kama ambavyo Mkuu wa Mkoa wa Dar Albert Chalamila amenukuliwa.
Hii ni Kauli ya pili ,ya kwanza ilitoka Kwa Prof.Janabi na kuungwa mkono na Waziri wa Afya.
Swali.Je huu ndio msimamo wa Serikali au msimamo binafsi wa Chalamila na wengine?
Nilipokuwa sekondari, tulikuwa tunakunywa uji bila sukari. Nilikuwa nakilaani sana kitendo kile.Chalamila asema ukimsikiliza Dr. Janabi anasema ulaji wa sukari nyingi unasababisha maradhi mengi, kwahiyo wakati huu ambako sukari imeadimika tuachane nayo kabisa ili usiweze kupata matatizo ya afya hapo baadaye.
Kwahiyo serikali imeshindwa kabisa kutatua changamoto hii ya upatikaji wa sukari sasa wanatafuta 'justification' ya ukosefu huo?
Bashe ilibidi uwajibike kwa kushindwa kutatua hili hadi hali imekuwa mbaya hivi.
Pamoja na haya yote bado viongozi mnakula kwa kama zenu na hutasikia posho za wabunge zimepungua, ama wamechukua 'initiatives' za kubana matumizi ili kupunguza makali haya kwa wananchi.
Bure kabisa!
Unawekaga sukari kweny chapati?Sasa mandazi na chapati tuweke chumvi kmmk
Pale Bashite, kule Chalamila, mbele kidogo Dr Mollel, ukirudi nyuma Nnape, kata Kona ....Chalamila asema ukimsikiliza Dr. Janabi anasema ulaji wa sukari nyingi unasababisha maradhi mengi, kwahiyo wakati huu ambako sukari imeadimika tuachane nayo kabisa ili usiweze kupata matatizo ya afya hapo baadaye.
Kwahiyo serikali imeshindwa kabisa kutatua changamoto hii ya upatikaji wa sukari sasa wanatafuta 'justification' ya ukosefu huo?
Bashe ilibidi uwajibike kwa kushindwa kutatua hili hadi hali imekuwa mbaya hivi.
Pamoja na haya yote bado viongozi mnakula kwa kama zenu na hutasikia posho za wabunge zimepungua, ama wamechukua 'initiatives' za kubana matumizi ili kupunguza makali haya kwa wananchi.
Bure kabisa!
Pia Giza linasaidia watu kupata usingizi .Tanesco wawe wanazima umeme usiku Hadi mawodini Muhimbili anakofanya kazi Professor Janabi ili wagonjwa walale usingizi mnono😐😅😅😅
Achana na huyo mropokaji aliyesoma sociology. Anakaririshwa madhara ya sukari iliyozidi mwilini lakini hajui kuwa hata kuwa na sukari pungufu nayo ni hatari kwa afya ya binadamu.Chalamila asema ukimsikiliza Dr. Janabi anasema ulaji wa sukari nyingi unasababisha maradhi mengi, kwahiyo wakati huu ambako sukari imeadimika tuachane nayo kabisa ili usiweze kupata matatizo ya afya hapo baadaye.