Chalamila: Katiba Mpya ni muhimu, Katiba ya sasa inawezekana akapatikana Makamu wa Rais mchawi akamroga Rais ili yeye awe Rais wa nchi

Huyu ni WA kuzimwa haraka Sana,hapa anachonganisha Rais na wananchi..

Kwamba Makamu wa Rais anaweza kufanyaje? Hizi tayari ni fitina maana Duniani kote Makamu wa Rais lazima achukue nafasi ya Rais pindi kukitokea la kutokea.

Sasa tujiulize je hayo mabadiliko ya Katiba yatamtoa Makamu wa Rais au?
 
Si ndio hapo ni ujinga na upumbavu na chuki tuu za majitu kama kina Chalamila yaliyonufaika na Mwendazake sasa yako nje yanaleta fitina.

Samia piga ban Hawa mbwa, maana huu uhuru umewapatia wanatumia vibaya.
 

Kama kuna ukweli fulani vile.
 
Loud and clear! kwa hiyo JPM aliuawa!?? Kwa kulogwa??? Huko CCM kuna mataahira waliolewa harufu ya kunusa matako ya wakubwa!
 
Hii nchi inanishangaza sana. Watu hawajiamini hasa wanasiasa wakiwa kwenye nafasi zao wanaunga mkono kila kitu. Wakiwa nje au kiongozi wao akitoka basi wanamponda na kumkana! Hawana wanaloamini na hakuna wasiloamini. Mungu tusaidie!
 
Ninashauri kwa kauli hii’ Chalamila apatiwe PhD ya Udom. Amesema ukweli 100%
 
wengi walioko madarakani ni wanafiki tu katiba mpya wanataka ila wanaogopa kufungua mdomo.
 
Katiba ya mwaka 1977 ndio ilitafsiriwa na wahuni waliopo CCM wakapata nafasi ya kufanya yao kwa JPM
 

Rest well our hero President John Pombe Magufuli

Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan na wasaidizi wake
 
Katiba ya mwaka 1977 ndio ilitafsiriwa na wahuni waliopo CCM wakapata nafasi ya kufanya yao kwa JPM
Kwamba mnataka mtu katili kama JPM ndio maendeleo yatakuja? Aisee naombea atokee zaidi ya huyo tuone maendeleo yatakavyokuja.

Japo wenye akili najua watazuia huu ujinga wa wajinga wengi ila natamani atokee mtu kama hiyo hii Nchi ikiwa kama Zambambwe siku moja Ndio akili zitakaa sawa seems kuvaa viraka hamkuridhika na maendeleo hayakupatikana.
 
Rest well our hero President John Pombe Magufuli

Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan na wasaidizi wake
Usinijumuishe hakuwa hero wangu,alikuwa ni zero brain who knows nothing about economics and leadership
 
Huyu naye njaa inamsumbua,sasa atuambie katiba isemeje baada ya kifo Cha rais,je turudi kwenye uchaguzi mkuu au jeshi ndo liongoze nchi?

Huyu naye hamnazo Kama alivyokuwa Gofrey zambi yule mpuuzi
 

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…