The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Huyu ni WA kuzimwa haraka Sana,hapa anachonganisha Rais na wananchi..#HABARI Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Albert Chalamila amesema kuwa anaunga mkono mabadiliko ya Katiba Mpya akieleza, Katiba ya sasa inasema Rais akifa Makamo ndiye anakua Rais, amedai inawezekana akapatikana Makamu wa Rais mchawi akamroga Rais ili yeye awe Rais wa nchi.
View attachment 2070602
Kwamba Makamu wa Rais anaweza kufanyaje? Hizi tayari ni fitina maana Duniani kote Makamu wa Rais lazima achukue nafasi ya Rais pindi kukitokea la kutokea.
Sasa tujiulize je hayo mabadiliko ya Katiba yatamtoa Makamu wa Rais au?