peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
JK yuko magogoni msichokijuaKwamba mnataka mtu katili kama JPM ndio maendeleo yatakuja? Aisee naombea atokee zaidi ya huyo tuone maendeleo yatakavyokuja.
Japo wenye akili najua watazuia huu ujinga wa wajinga wengi ila natamani atokee mtu kama hiyo hii Nchi ikiwa kama Zambambwe siku moja Ndio akili zitakaa sawa seems kuvaa viraka hamkuridhika na maendeleo hayakupatikana.
Tulieni dawa iwaingie! Shaka ameitisha kikao na waandishi wa habari haji kutoa taarifa! Msifikiri Ndugai yuko peke ake!Huyu naye njaa inamsumbua,sasa atuambie katiba isemeje baada ya kifo Cha rais,je turudi kwenye uchaguzi mkuu au jeshi ndo liongoze nchi?
Huyu naye hamnazo Kama alivyokuwa Gofrey zambi yule mpuuzi
Ina maana mama alimroga mtu?😎
Usinijumuishe hakuwa hero wangu,alikuwa ni zero brain who knows nothing about economics and leadership
Taasisi iko kwa ajili ya nini zaidi ya usalama na economy? Hakuna Kazi ya kiongozi zaidi ya hizo mbili hapa Duniani..Sijakujumuisha weye, nimejumuisha wale wenye mapenzi mema wanaojua rais ni taasisi na sio economics
Magogoni kufanya nini? Wewe umemuona peke yako?JK yuko magogoni msichokijua
Na ile kamati ya warioba iliyotafuna mabilioni kwa ile takataka nayo ikarudia upuuzi huohuo kwenye rasimu yao.Watengeneza Katiba hawakuwa wameona kama inaweza kutokea Rais akafariki akiwa madarakani..
Hauwezi nifikia nilivyocheka jamani
Kwanza rasimu ya Warioba inataja serikali ngapi? 3,2 au 1?Tuliyaona hayo mapema ndiyo maana katika katiba ya Warioba tulisema Rais akikoma kuwa rais kwa sababu yoyote ile kabla ya kipindu chake kuisha, basi utaitishwa uchaguzi mpya ndani ya siku 90; matuona wajinga - na bado
Hao ni njaa hakuna kingine,hata hivyo hadi kesho waulize ccm kama wanataka Katiba mpya,hakuna atakaekubali kwa sababu itapunguza nafasi zao.Kauli za mswahili huwa zinapingana inategemea yupo hali gani akiwa na shibe au njaa.
Wakiwa kwenye mfumo upinga katiba mpya,wakiwa nje ya mfumo njaa ikiwapiga akili urudi toka likizo
mmh mbona ipo wazi SSH ni mchawi na mshirikina haswa?#HABARI Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Albert Chalamila amesema kuwa anaunga mkono mabadiliko ya Katiba Mpya akieleza, Katiba ya sasa inasema Rais akifa Makamo ndiye anakua Rais, amedai inawezekana akapatikana Makamu wa Rais mchawi akamroga Rais ili yeye awe Rais wa nchi.
View attachment 2070602