Chalamila: Katiba Mpya ni muhimu, Katiba ya sasa inawezekana akapatikana Makamu wa Rais mchawi akamroga Rais ili yeye awe Rais wa nchi

Chalamila: Katiba Mpya ni muhimu, Katiba ya sasa inawezekana akapatikana Makamu wa Rais mchawi akamroga Rais ili yeye awe Rais wa nchi

Kwamba mnataka mtu katili kama JPM ndio maendeleo yatakuja? Aisee naombea atokee zaidi ya huyo tuone maendeleo yatakavyokuja.

Japo wenye akili najua watazuia huu ujinga wa wajinga wengi ila natamani atokee mtu kama hiyo hii Nchi ikiwa kama Zambambwe siku moja Ndio akili zitakaa sawa seems kuvaa viraka hamkuridhika na maendeleo hayakupatikana.
JK yuko magogoni msichokijua
 
Huyu naye njaa inamsumbua,sasa atuambie katiba isemeje baada ya kifo Cha rais,je turudi kwenye uchaguzi mkuu au jeshi ndo liongoze nchi?

Huyu naye hamnazo Kama alivyokuwa Gofrey zambi yule mpuuzi
Tulieni dawa iwaingie! Shaka ameitisha kikao na waandishi wa habari haji kutoa taarifa! Msifikiri Ndugai yuko peke ake!
 
Tuliyaona hayo mapema ndiyo maana katika katiba ya Warioba tulisema Rais akikoma kuwa rais kwa sababu yoyote ile kabla ya kipindu chake kuisha, basi utaitishwa uchaguzi mpya ndani ya siku 90; matuona wajinga - na bado
 
Sijakujumuisha weye, nimejumuisha wale wenye mapenzi mema wanaojua rais ni taasisi na sio economics
Taasisi iko kwa ajili ya nini zaidi ya usalama na economy? Hakuna Kazi ya kiongozi zaidi ya hizo mbili hapa Duniani..

Wenye akili wote wanajua alikuwa mpuuzi who was heading the nation towards the hell.
 
Tuliyaona hayo mapema ndiyo maana katika katiba ya Warioba tulisema Rais akikoma kuwa rais kwa sababu yoyote ile kabla ya kipindu chake kuisha, basi utaitishwa uchaguzi mpya ndani ya siku 90; matuona wajinga - na bado
Kwanza rasimu ya Warioba inataja serikali ngapi? 3,2 au 1?
 
Hahahahahahahaha aiseee nimecheka kama chizi huyo chalamila akirudishwa kwao Mdabulo kunywa ulanzi ndio akili za katiba MPYA zinamjia,
Halafu amesemaje?
Wazee wa Jang'ombe waliweza kuwatuliza wababu wa Gamboshi?
Hili linawezekanaje aiseee!
😂😂😂😂
 
Kauli za mswahili huwa zinapingana inategemea yupo hali gani akiwa na shibe au njaa.
Wakiwa kwenye mfumo upinga katiba mpya,wakiwa nje ya mfumo njaa ikiwapiga akili urudi toka likizo
 
Daah aisee...NGOJA TUONE,SASA MUGAMBO HAWAKANYAGANI TENA BALI WANAKATANA MAPANGA
 
Kauli za mswahili huwa zinapingana inategemea yupo hali gani akiwa na shibe au njaa.
Wakiwa kwenye mfumo upinga katiba mpya,wakiwa nje ya mfumo njaa ikiwapiga akili urudi toka likizo
Hao ni njaa hakuna kingine,hata hivyo hadi kesho waulize ccm kama wanataka Katiba mpya,hakuna atakaekubali kwa sababu itapunguza nafasi zao.
 
Magogoni kufanya nini? Wewe umemuona peke yako?

FB1F5974-B3F7-45F7-AA1B-F6A2F8628D43.jpeg
 
#HABARI Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Albert Chalamila amesema kuwa anaunga mkono mabadiliko ya Katiba Mpya akieleza, Katiba ya sasa inasema Rais akifa Makamo ndiye anakua Rais, amedai inawezekana akapatikana Makamu wa Rais mchawi akamroga Rais ili yeye awe Rais wa nchi.

View attachment 2070602
mmh mbona ipo wazi SSH ni mchawi na mshirikina haswa?
ni kweli kwa sehemu yake spiritual alifanya hila za kumsambaratisha mwenzake.
SSH, anatumia majini na wachawi wenzake wa visiwani kuongoza nchi.
kwangu ni aibu na fedheha rais kuwa mchawi na mshirikina.
 
Back
Top Bottom