Sijawahi ona mtumishi wa umma mwenye uwezo mdpgo wa kufikiri kama wewe
duuuh Mungu anajua zaidi anataka kuifanyia nini tz
nimekwelewa mkuu shikamoo!WAAMUZI 14:4
Wazazi wake hawakujua kwamba huo ulikuwa mpango wa Mwenyezi-Mungu ambaye alikuwa anatafuta kisa cha kuchukua hatua dhidi ya Wafilisti. Wakati huo, Wafilisti waliwatawala Waisraeli.
nimekwelewa mkuu shikamoo!
Wewe unao uwezo mkubwa? πππ Ndio ona saizi sasa kuwa tupoSijawahi ona mtumishi wa umma mwenye uwezo mdpgo wa kufikiri kama wewe
Mara sina ajira mara mtumishi wa uma? Zwazwa mkubwa .Kama huna ajira karibu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hivi kumbe bado yupo....
Aendelee kupumzika kwa amani....
Amina
Chalamila kachanganyikiwa, Duniani kote kunakuwepo na MakamuYaani ni kweli makamu anaweza kumroga Rais akadanja ili awe Rais yeye! Ujumbe umefikaa kwa wahusika!