Chalamila: Katiba Mpya ni muhimu, Katiba ya sasa inawezekana akapatikana Makamu wa Rais mchawi akamroga Rais ili yeye awe Rais wa nchi

Ukiwa nje lazima uwe sawa

Ukiwa ndani huoni kitu

Ova
 
Tunasema huu mwaka ni bora uishe tu[emoji1]
 
Chalamila mlipata nafasi mkashindwa kumshauri jiwe , mkabaki kusifia tu. Sasa mnakiona Cha mtema Kuni.
 
Chalamila kachanganyikiwa, Duniani kote kunakuwepo na Makamu
haya Katiba imuweke Mkuu wa Majeshi ndio tuseme hatamloga au kumdunga risasi ili ashike madaraka?
Mimi nadhani kwa nchi zetu ni hatari sana. Ningetaka turudi kwenye uchaguzi wananchi waamue. Nchi zilizoendelea ni sawa lakini hapa kwetu kuna drawbacks nyingi. Yanayoendelea sasa hivi yamewafanya watu wengi washtuke. Kumbe makamu alikuwa hakubaliani na misimamo mingi tu ya rais wakati alikuwa anasema wako kiti kimoja?
 

 
duh Uchaguzi tena, wala Katiba mpya sikubaliani nalo labda vipengele km Wasimamizi wa Uchaguzi , Matokeao ya Urais, lkn upya au Rais asiwe na Madaraka bado muda tujenge Nchi kwanza
Katika Uchaguzi unadhani Zitto au Lissu watamkaribia Mama
 
Uchawi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…