Chalamila kutumia vyombo vya dola ili kulazimisha wazazi kuchangia chakula shuleni

Mh Chalamila ametoa kauli hiyo ili kuwalazimisha wazazi kupeleka chakula baada ya kubaini kuwa wameshindwa kutimiza wajibu huo kwa njia ya amani licha ya kupatiwa maelezo na kuelimishwa faida ya utaratibu huo .

Mtukufu Chalamila ametoa kauli hiyo ya maendeleo katika shule ya sekondari ya Iyela Jijini Mbeya katika ziara ya kimkakati ili kuinua kiwango cha ufaulu .
Mkulu si amekataza michango mashuleni? au sio ndugu zangu?
 
Mh Chalamila ametoa kauli hiyo ili kuwalazimisha wazazi kupeleka chakula baada ya kubaini kuwa wameshindwa kutimiza wajibu huo kwa njia ya amani licha ya kupatiwa maelezo na kuelimishwa faida ya utaratibu huo .

Mtukufu Chalamila ametoa kauli hiyo ya maendeleo katika shule ya sekondari ya Iyela Jijini Mbeya katika ziara ya kimkakati ili kuinua kiwango cha ufaulu .
Elimu bure hainaga michango waacheni watoto wasome kila mzazi ampe mwanaye hela kidogo ya kujikimu atakavyo. mkishindwa elimu bure rudisheni malipo yote.
 
Back
Top Bottom