Ettore Bugatti
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 4,123
- 8,242
Mkulu si amekataza michango mashuleni? au sio ndugu zangu?Mh Chalamila ametoa kauli hiyo ili kuwalazimisha wazazi kupeleka chakula baada ya kubaini kuwa wameshindwa kutimiza wajibu huo kwa njia ya amani licha ya kupatiwa maelezo na kuelimishwa faida ya utaratibu huo .
Mtukufu Chalamila ametoa kauli hiyo ya maendeleo katika shule ya sekondari ya Iyela Jijini Mbeya katika ziara ya kimkakati ili kuinua kiwango cha ufaulu .
Mkulu si amekataza michango mashuleni? au sio ndugu zangu?
Sisi watu wa Mbeya tunaona aibu sana !RC duni kuwahi kupatikana katika mkoa wa Mbeya.
Kila jambo yeye ni kuhusisha nguvu ya dola. Pathetic!
Uzuri wake ni upi ?Mpango wake ni mzuri
πππMkulu si amekataza michango mashuleni? au sio ndugu zangu?
Watoto kupata chakula shuleni.Uzuri wake ni upi ?
Elimu bure hainaga michango waacheni watoto wasome kila mzazi ampe mwanaye hela kidogo ya kujikimu atakavyo. mkishindwa elimu bure rudisheni malipo yote.Mh Chalamila ametoa kauli hiyo ili kuwalazimisha wazazi kupeleka chakula baada ya kubaini kuwa wameshindwa kutimiza wajibu huo kwa njia ya amani licha ya kupatiwa maelezo na kuelimishwa faida ya utaratibu huo .
Mtukufu Chalamila ametoa kauli hiyo ya maendeleo katika shule ya sekondari ya Iyela Jijini Mbeya katika ziara ya kimkakati ili kuinua kiwango cha ufaulu .