Amesema mtazamo wake kuhusu katiba ni kuleta nafuu kwenye maisha ya kila siku mf.
Wanawake wasio na ajira wapewe mikopo bila riba mtu akifa maiti isidaiwe chochote na kijana akihitimu masomo na serikali haijampa ajira baada ya miaka mitano ianze kumlipa nusu mshahara mpaka atakapo pata ajira.