Chalamila: Natamani katiba mpya iseme ukimaliza chuo kikuu huna ajira ulipwe nusu mshahara mkopo wa elimu ya juu usiombwe upewe lazima.

The Phylosopher

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2015
Posts
1,968
Reaction score
2,957
Amesema mtazamo wake kuhusu katiba ni kuleta nafuu kwenye maisha ya kila siku mf.
Wanawake wasio na ajira wapewe mikopo bila riba mtu akifa maiti isidaiwe chochote na kijana akihitimu masomo na serikali haijampa ajira baada ya miaka mitano ianze kumlipa nusu mshahara mpaka atakapo pata ajira.
 
Washa shideo hio na wengine tione kwa NONDO hizo akigombea urais kesho tu atajikuta yupo ikulu balaa linakuja kwenye utekelezaji
 
Anatamani hayo, lkn akiambiwa tuunde katiba mpya utasikia anaponda kwa kusema katiba mpya haileti maji.
 
Back
Top Bottom