Chalamila shikamoo brother

Chalamila shikamoo brother

Yesu alifyata mkia tena alaiwazuia watu wasimpige Malaya akasema ambae hana dhambi awe wa kwanza kumpiga mawe watu wote wakakimbia kwa hio hata Yesu alikua mtetezi wa Malaya km unasoma biblia nenda ukasome mpe na Challamila biblia asome Yesu mwenyewe aliufyata akakaa upande wa Malaya

Mpigie 0767 150 400
Mkuu punguza jazba,,,kuna watoto humu bado hawajalala!!!
 
Kwa kwel zile harakati za mtu mweusi nimefanikiwa kuziona na nimefanikiwa kuongea na baadhi ya wakongwe wa hizi fani za utazamaji wa filamu za ng*n* na picha utupu kutoka maeneo ya tanga bara bara ya 12 na haya yalikua ni mazungumzo yetu

Mimi: Khabar yako, mnaendeleaje katika jiji la "waja leo waondoka Leo"

Yeye: salama kbs tunaendelea vzr

Mimi; siku za karibuni Kuna pilau la kufungia mwaka limepikwa Tanzania na likavujishwa kutoka ardhi ya Biden kwa uzoefu wako umegundua nini

Yeye; ndugu mtangazaji lile pilau ama kwel limelika na kazi imefanyika kilichokosekana ni ufundi mdogo mdogo baadhi ya viungo vilikua havijakolea kwa sie wazee wa Tanga tumegundua madhaifu mengi ila vijana wa siku hz hamna majambo wanaona pale Wana la kujifunza ila sie walaaaa

Mimi; asante sana mzeewangu

Kama ulivoona ndugu kagame umeweza kuona maoni ya baadhi ya wasikilizaji wetu

Kwako studio
Huku studio tunafanya juhudi za kumtafuta Rick boi aje tumfanyie interview maana na yeye anahusika na uzi pendwa JF...
Chuma la chuma tutamtafuta na kumuhoji ndugu mwandishi...
Huku dar kumepooza baada ya wenye mji wakoingozwa na braza kukataza vijana wa ajira portal kujiajiri mkuu....
Sijui unanipata ndugu mwandishi...
Ovaaaaaa
 
NDUGU WASIKILIZAJI KUSEMA KWELI HALI NI SHWARI NIKIRIPOTI KUTOKA HAPA MITAA YA TEGETA KWA NDEVU, ,NAJIULIZA VP HUKU BRAZA MBONA HAKUFIKA KUPAMBANA NA VIJANA WA AJIRA PORTAL MAANA HALI IMECHANGAMKA KWELI...
NA MWANDISHI WETU MKONGWE KUTOKA MJINI MOSHI BWANA MPAJI MUNGU ANATUELEZA KUA MIJI YA MOSHI NA ARUSHA HALI YA VIJANA WA AJIRA PORTAL NI NJEMA KABISA...
SASA SISI HUKU STUDIO TUNARUDISHA SALAMU KWA BRAZA YETU...
NA WACHANGIAJI MNARUHUSIWA KUPIGA SIMU..
HATUJAPATA SIMU ZA MIKOA YA
MWANZA
DODOMA
SINGIDA
IRINGA
MBEYA
TANGA
MOROGORO
TABORA
GEITA
BUKOBA
KARAGWE
SIMIYU
KONDOA
ZENJI
MANYARA
MTWARA
KAHAMA
GEITA
MARA NA MUSOMA MJINI
Hali ipoje huko ndugu wasikilizaji
NB: Code muhimu ndugu wasikilizaji tupo live studio
 
We bwana Mutombo Kalulu hebu kashushe vitu kule bwana ..achana nanhiz habar za machungudoa
Huu uzi mpya...unaitwa NAKUSALIMIA BROTHER
Nipo ughaibuni mkuu
Kuandika mpaka nirudi motherland ila nitaweka vitu ucjali...
Au hujui hii holday season mkuu
 
Yesu alifyata mkia tena alaiwazuia watu wasimpige Malaya akasema ambae hana dhambi awe wa kwanza kumpiga mawe watu wote wakakimbia kwa hio hata Yesu alikua mtetezi wa Malaya km unasoma biblia nenda ukasome mpe na Challamila biblia asome Yesu mwenyewe aliufyata akakaa upande wa Malaya

Mpigie 0767 150 400
Punguza ukali wa maneno Mkuu,upo kasi sana
 
Mambo yako advanced. Huyo mporipori kichwa kama matako ni mshamba tu.
Brother njoo NSHOMILE RUTAGWERERA ANAKUTUKANA HUKU ANASEMA TOINA MAGEZI ULI KIFERWA 🤣🤣😂😂😂
Au analeta zile bifu za bukoba ulizowachana kua ni wavivu mpaka huku jf 🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom