Ewaaaaah pia nlifanikiwa kufika kiwanja maarufu Cha shivaz kilichopoa 96.2FM Arusha kiwanja kinachosifika kwa kuwa na kila aina ya mema ya dunia kuanzia wahindi, wabantu, Cushites na nilotes kwa kweli Watanzania wana kila sababu za kumshukuru mama Samia kwa sababu hali ni shwari watu wanapata huduma kwa nafuu na wanafurahia maisha
Pia nimefika hadi maeneo ya babati mjini kujionea hali halisi kwa kwel watanzania waamue wao mambo ni saafi kbs huduma zipo available 24/7 kuanzia bara bara ya Olympic, maeneo ya na River Nile, njoo mpaka maeneo ya mahakamani, royal hotel, majengo mapya na maeneo mengine Kwa kwel tunaweza sema together tunawakilisha
Nirudi kwenu studio za dar es salaam kwa matangazo zaidi