Kuna pipo humu ni watu wazima ki umri na ni smart sana kuchwani ila utakuta wanatetea tena vibaka..
Then wanakuja na hoja weak mno..
Mara ufisadi
Mara sijui hiki au kile.
Vibaka , wezi, majambazi na nk jamii ya hao watu ni wanarudisha sana maendeleo nyuma hasa kwa sisi vijana wenzao.
Imagine mtu unajitafuta kwa kuvuja jasho alafu yeye in 5mins anataka kuchukua kila kiti chako na bado anakuumiza,
Hapa mnakuja kutetea watu kama hao hivi hii inaingia akilini.
Hata kama ajila hakuna ndio uibe au ukabe yaani kukosa kwako ajira ndio univunjie mimi fremu yangu..
Mnasema polisi wadeal na mafisadi..
Kuna relationship gani hapo kati ya ufisadi na hao vibaka...?
Kuna mambo mengine mpaka yakutokee ndo utajua hawa watu ni hatari kiasi gani.
Mi simshangai huyo mkuu wa mkoa kusema hvo japo kasema tu sio kama katilia maanani hilo suala ila hawa vibaka wakikamatwa jela tuu inawatosha