Chalamila: Vibaka wafanywe 'skeleton' za maabara iwe fundisho kwa wengine

Nakazia maneno ya Mhe. Mkuu wa Mkoa. Nina jamaa mbaka leo yuko ICU kisa bisibisi wakitaka pesa alizotoa ATM muda mfupi (usiku). Tena akiwa kwenye gari, wakagonga na boda, jamaa kushuka ikawa issue kumbe walitaka pesa tu.
 
Huyo ni Mwenyekiti WA Kamati ya Ulinzinma Usalama ya Mkoa.

Ili mtu awe skeleton si inatakiwa auwawe kwanza!?

Uzuri ni kwamba muda wenu umebaki mchache sana viongozi WA aina hii,, endeleeni kulewa shibe kimwishomwisho.
-Kikibwa tuombe Mungu wasilete madhara makubwa kipindi hiki Cha mpito ambacho wanatakiwa kukusanya virago.
Tanzania Mpya inakuja.

Mtu unajisahauje kwamba hata wewe una watoto au ndugu ambao hujui hatma zao,, JE, utakubali wafanywe skeleton 🦴 siku wakiharibu?
Nini maana ya utawala WA Sheria.
Endeleana wizi wako muda sio mrefu utaingia kwenye 18
 
Hayo yanatokea haimaanishi ndio nawe uue, ingekua hivi hata mtu anaweza kuwa hajaiba akazushiwa uhai ukapokwa. Sheria zingekua madhubuti wananchi wangewaamini polisi... kujichukulia sheria mkononi ni matokeo ya polisi kufeli
Sawa kabisa mkuuu ila sasa wakati tusubiri hao polisi wajenge iman kwetu nao vbaka wanatuteketeza .tufanyajee mkuu ?
 
Huu sasa ni ukiukaji wa haki za binadamu na si vema binadamu kufanyiwa sampling za tiba bila utashi wake. Unamuua kibaka halafu mwili wake unaupeleka maabara kwa ajili ya experiment maabara si vema
Badlika sasa vingenevyo chala keshasema utageuzwa skleton maramoja
 
Wakuu,

Ni Chalamila tena katika matamko yake kama vile amekatwa kichwa! Mchengerwa OR TAMISEMI tunasubiri neno lako hapo, huyu bwana hajui kama kuna sheria za kufuata?

====

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, ameliagiza Jeshi la Polisi kuwachukulia hatua kali watu wote wanaojihusisha na uporaji 'vibaka' katika maeneo mbalimbali ya jiji hilo hususani vibaka wa Daraja la Selenda, ili iwe fundisho kwa wale wote wanaohatarisha amani na usalama jijini.

Chalamila amesema hayo mwishoni mwa juma alipoongoza zoezi la usafi kama maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam ikiwemo Daraja la Selenda, Soko la Kimataifa la Salamaki la Feri na maeneo mengine ikiwa ni maandalizi kuelekea Mkutano wa Nishati wa Wakuu wa Nchi za Afrika 'Mission 300' unaotarajiwa kufanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) kuanzia Januari 27-28 mwaka huu.

Chalamila amesema, "Sasa, naagiza kibaka takayekamatwa, asipigwe wala kuuliwa, apelekwe maabara awe 'skeleton' mifupa ya kufundishia wengine ambao wataiga mfano kwamba wizi haustahili katika jiji la Dar, kwahiyo hilo ndio agizo langu, wakale kielelezo kizuri kwa watu wengine." amesisitiza RC huyo.
Huyu kuchaa mbona wanaokula kwa urefu wa kamba ana waacha wana kula kiyoyozi kwenye ofisi za wananchi, vibaka nao wanakula kuligana na urefu wa kamba yao.
 
Hayo yanatokea haimaanishi ndio nawe uue, ingekua hivi hata mtu anaweza kuwa hajaiba akazushiwa uhai ukapokwa. Sheria zingekua madhubuti wananchi wangewaamini polisi... kujichukulia sheria mkononi ni matokeo ya polisi kufeli
Na sio polisi hata mahakamani napo ni shida
 
Wakuu,

Ni Chalamila tena katika matamko yake kama vile amekatwa kichwa! Mchengerwa OR TAMISEMI tunasubiri neno lako hapo, huyu bwana hajui kama kuna sheria za kufuata?

====

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, ameliagiza Jeshi la Polisi kuwachukulia hatua kali watu wote wanaojihusisha na uporaji 'vibaka' katika maeneo mbalimbali ya jiji hilo hususani vibaka wa Daraja la Selenda, ili iwe fundisho kwa wale wote wanaohatarisha amani na usalama jijini.

Chalamila amesema hayo mwishoni mwa juma alipoongoza zoezi la usafi kama maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam ikiwemo Daraja la Selenda, Soko la Kimataifa la Salamaki la Feri na maeneo mengine ikiwa ni maandalizi kuelekea Mkutano wa Nishati wa Wakuu wa Nchi za Afrika 'Mission 300' unaotarajiwa kufanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) kuanzia Januari 27-28 mwaka huu.

Chalamila amesema, "Sasa, naagiza kibaka takayekamatwa, asipigwe wala kuuliwa, apelekwe maabara awe 'skeleton' mifupa ya kufundishia wengine ambao wataiga mfano kwamba wizi haustahili katika jiji la Dar, kwahiyo hilo ndio agizo langu, wakale kielelezo kizuri kwa watu wengine." amesisitiza RC huyo.
Yupo sahihi,hayo mambo yenu ya haki za binadamu yanatuchelewesha sana,hawa wapuuzi wanarudisha sana watu nyuma......kama hujawahi kufikiwa na hawa huwezi kunielewa na utaona nina roho mbaya,ila ni wapuuzi sana........
 
Huyu kuchaa mbona wanaokula kwa urefu wa kamba ana waacha wana kula kiyoyozi kwenye ofisi za wananchi, vibaka nao wanakula kuligana na urefu wa kamba yao.
Endelea na wizi wako ipo siku utaingia kwenye 18 za raia
 
Back
Top Bottom