kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 7,452
- 10,785
Huenda hiyo ni falsafa tu, anamaanisha wapewe adhabu kali ili iwe mfano.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona watu wengi wanaona Chalamila katoa kauli tata lakini ndiyo inavyotakiwa hvyo na chalamila siyo mara ya kwanza kutoa kauli kama hiyo kule mbeya aliwahi kutoa kauli inayofanana na hiyo kuhusu hao vibaka mi nampongeza yeyote yule anaetetea vibaka na ni kibaka. Vibaka wauwaweWakuu,
Ni Chalamila tena katika matamko yake kama vile amekatwa kichwa! Mchengerwa OR TAMISEMI tunasubiri neno lako hapo, huyu bwana hajui kama kuna sheria za kufuata?
====
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, ameliagiza Jeshi la Polisi kuwachukulia hatua kali watu wote wanaojihusisha na uporaji 'vibaka' katika maeneo mbalimbali ya jiji hilo hususani vibaka wa Daraja la Selenda, ili iwe fundisho kwa wale wote wanaohatarisha amani na usalama jijini.
Chalamila amesema hayo mwishoni mwa juma alipoongoza zoezi la usafi kama maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam ikiwemo Daraja la Selenda, Soko la Kimataifa la Salamaki la Feri na maeneo mengine ikiwa ni maandalizi kuelekea Mkutano wa Nishati wa Wakuu wa Nchi za Afrika 'Mission 300' unaotarajiwa kufanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) kuanzia Januari 27-28 mwaka huu.
Chalamila amesema, "Sasa, naagiza kibaka takayekamatwa, asipigwe wala kuuliwa, apelekwe maabara awe 'skeleton' mifupa ya kufundishia wengine ambao wataiga mfano kwamba wizi haustahili katika jiji la Dar, kwahiyo hilo ndio agizo langu, wakale kielelezo kizuri kwa watu wengine." amesisitiza RC huyo.
Ndugu yangu walimpiga bisibisi ya tumbo kisa tu wamuibie laptop. Tuliuguza weee mwisho akafariki 🙆♂️Siku kibaka akikuchoma bisi bisi shingo au kisu cha tumbo kisa tu kukuibia sim ndio utamuelewa Mkuu wa Mkoa. Jamaa yangu pale Sinza alipigwa nondo ya uso jamaa wakaondoka na sim na wallet japo amepona lakini paji la uso limebonyea mpaka leo.
Kwa Tanzania huyu hawezi kufanywa lolote. Kitakachotokea ni kwamba siku hawa ''vibaka'' watakapofanya kweli basi itakuwa too late kuwa-contain tena. Wewe waache waendelee kula raha wakidhani uongozi ni kuponda raha na kutoa maneno ya kejeli.Huyu huo mdomo wake lopolopo utakuja kumponza
Mwenyekiti wa Ulinzi na usalama Mkoa.Wakuu,
Ni Chalamila tena katika matamko yake kama vile amekatwa kichwa! Mchengerwa OR TAMISEMI tunasubiri neno lako hapo, huyu bwana hajui kama kuna sheria za kufuata?
====
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, ameliagiza Jeshi la Polisi kuwachukulia hatua kali watu wote wanaojihusisha na uporaji 'vibaka' katika maeneo mbalimbali ya jiji hilo hususani vibaka wa Daraja la Selenda, ili iwe fundisho kwa wale wote wanaohatarisha amani na usalama jijini.
Chalamila amesema hayo mwishoni mwa juma alipoongoza zoezi la usafi kama maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam ikiwemo Daraja la Selenda, Soko la Kimataifa la Salamaki la Feri na maeneo mengine ikiwa ni maandalizi kuelekea Mkutano wa Nishati wa Wakuu wa Nchi za Afrika 'Mission 300' unaotarajiwa kufanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) kuanzia Januari 27-28 mwaka huu.
Chalamila amesema, "Sasa, naagiza kibaka takayekamatwa, asipigwe wala kuuliwa, apelekwe maabara awe 'skeleton' mifupa ya kufundishia wengine ambao wataiga mfano kwamba wizi haustahili katika jiji la Dar, kwahiyo hilo ndio agizo langu, wakale kielelezo kizuri kwa watu wengine." amesisitiza RC huyo.
Hv watu wanapataga wapi huruma na vibaka. Hata kuwaacha skeleton n kuwapendelea Sana.Kwenye hili namuunga mkono RC vibaka wamekuwa makatili sana sasa kwanini wao wafanyiwe uungwana?
Huku uswahilini kwetu walimpiga mtu nondo ya kichwa lakini walipomsachi wamemkuta na shilingi 3,000 na kiberiti! Sasa kweli watu kama hao ni wa kuwaonea huruma?
iNumbi kama Nuumbi.
Nasikia Numbisa Kwa kisukuma ni viazi
Ndio ujue sasa
njoo pm nina zawadi yakoNdio ujue sasa
Mkuu niliwahi zimiwa Sigara kwenye paji la uso ili nishtuke niibiwe,Buku 3 na kiberiti tu mtu kapigwa nondo?
Ila vibaka wanakera sana. Mimi mwenyewe nikakamata napiga mashine. Kibaka hana huruma, kwa nini mimi nikuonee huruma