Chalamila: Vibaka wafanywe 'skeleton' za maabara iwe fundisho kwa wengine

Chalamila: Vibaka wafanywe 'skeleton' za maabara iwe fundisho kwa wengine

Hizo nyingine zikuchukuliwe tu kama mizaha na tongue in cheek, ukizingati hilo haliwezekani na indirectly wakifanya hivyo watakuwa wameacha kuchukua sheria mikononi yaani watawapeleka mamlaka hivyo kupunguza mauaji ya vibaka kitaa...
 
Mambo mengi muda mchache😁😁😁

Watu wengi hammalizi habari mkisoma kichwa cha Habari mnazama moja kwa moja katika comment section.
 
🤣🤣😂😂 yuko sawa. Kama hujawahi kuibiwa huezi kujua maumivu yake. Vibaka na wezi washenzi sana. ,🫡🫡🫡
 
Tena naona hiyo haitoshi hawa vibaka ni watu wakatili hawana utu wanajali kuhusu wao tu na sio wengine

Taani sina huruma na kibaka au mwizi wa aina yoyote akikamatwa afanywe chochote kile washenzi sana hawa viumbe
 
Miaka ya nyuma vibaka wengi hasa Dar waligeuka skeleton kwa kuvishwa matairi na petrol ilipatikana tu ingawa ilikuwa adimu sana kipindi kile, amekumbusha enzi za wananchi wenye hasira abarikiwe sana Mh Chalamila
 
Buku 3 na kiberiti tu mtu kapigwa nondo?
Ndiyo,unajua wale jamaa wakiona mtu anakuja wanajiandaa kumshambulia na kweli akifika usawa wao wanamvamia bila kujua ana hela au mali ya maana na yule mtu akileta upinzani wao hawarembi kama kisu au bisibisi wanamtoboa kweli au wanampiga nondo mtu akizima fasta wanazama mifukoni bila kufahamu mtu ana hela au la.
 
Daaah ila vibaka mazeee,hatari sana wanaumiza mnoooo.
Na inauma Zaid pale wanakuibia na kukuacha na ulemavu wa kudumu.
Ni Bora tu wajue mapemaaa wakidakwa biashara yao imeisha
Mkuu watu wanaleta blah blah tu hapa, solution kibaka akidakwa auwawe tu hakuna kuremba... Tunavyowadekeza ndo wanazidi kuongezeka. Wangekua wanaonyeshwa show wangeacha.
 
Back
Top Bottom