Mamba_Mtoni
JF-Expert Member
- Feb 18, 2023
- 420
- 766
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku hizi hadi bara nako kuna mikesha, watoto wanakesha hadi wengine wanasinzia darasani. Nchi hii...Hii ni moja ya sababu watu wa pwani tunapigwa sana gap la kielimu na watu wa bara, vigodoro ,midundiko, vanga tunaiabudu sana aisee.
Zamani ilikuw mtoto haonekani shule miezi minne kumbe kawekwa mwali ndani....
Watoto kama hawa wanaishi na mentality hiyohiyo ya kuabudu vigodoro mpaka ukubwani
Kuna mtumishi wa umma alioa Morogoro, akapata uhamisho kwenda Iringa kikazi, mkewe akagoma katakata kuhama pamoja na mumewe kisa ni kwamba ikitokea shughuli nyumbani ushiriki wake utakuwa hafifu hataweza kurudi kwa wakati au asirudi kabisa,Hii ni moja ya sababu watu wa pwani tunapigwa sana gap la kielimu na watu wa bara, vigodoro ,midundiko, vanga tunaiabudu sana aisee.
Zamani ilikuw mtoto haonekani shule miezi minne kumbe kawekwa mwali ndani....
Watoto kama hawa wanaishi na mentality hiyohiyo ya kuabudu vigodoro mpaka ukubwani
Na wengine kulala na watoto mpaka hata kuoga nao❌ Baadhi ya wazazi / wakubwa hasa wa kike kupenda kuweka vikao vya majungu, kuongea mbo mazito ya mahusiano, michepuko Yao na mbinu za kumbana/ kumchuna mwanaume bila kujali kuwa watoto wapo na wanakariri neno kwa neno.
Sahihi 100%VITU VINAVYOATHIRI MALEZI NA TABIA MBOVU ZA WATOTO KULIKO UMRI WAO.
❌ Tamaduni na ngoma za hovyo zisizo na maadili kama vigodoro na singili.
❌ Nyumba yenye vyumba vichache ambapo watoto husikia faragha za wazazi .
❌ Baadhi ya wazazi / wakubwa hasa wa kike kupenda kuweka vikao vya majungu, kuongea mbo mazito ya mahusiano, michepuko Yao na mbinu za kumbana/ kumchuna mwanaume bila kujali kuwa watoto wapo na wanakariri neno kwa neno.
❌ Tamthilia zinazoonyeshwa kwenye Tv masaa 24 wanawake wenye nyumba/ wadada wa kazi na wanawake in general wanaziangalia masaa 24, tena wapo na watoto wanaofurahia na kuchangiwa kinachoendelea. Tamthilia hizo Zina theme nyingi za mapenzi na mahusiano.
❌ Mahubiri kwenye nyumba za ibada wale ambao hawatengi ibada za watoto Bali wote huchanganyikana. Sasa, asilimia kubwa ya mahubiri Yao ni mapenzi na mahusiano. Wanaongea mambo mazito ama wanapo kemea tabia Fulani au wanapomasisha mahusiano, wakati wanaongea hayo watoto wadogo wapo.
❌ Wakitoka hapo wanaokwenda kufanyia utafiti waliyoyasikia na hapo wanakwenda kuwa influence wenzao ambao hawajui chochote na hivyo kujaribu maadili ya jamii nzima
Mahubiri ya xxx? Sijakuelewa kabisaVITU VINAVYOATHIRI MALEZI NA TABIA MBOVU ZA WATOTO KULIKO UMRI WAO.

Imewahi kusikia mawaidha ya kipoozeo? Unadhani anayatolea wapi hayo mahubiri?Mahubiri ya xxx? Sijakuelewa kabisa
Ok, okImewahi kusikia mawaidha ya kipoozeo? Unadhani anayatolea wapi hayo mahubiri?
Baadhi ya wahubiri na watoa mawaidha wanawateka wasikilizaji kwa kuzungumzia zaidi masuala ya mahusiano kuliko mafundisho ya kiimani, kwamfano mhubiri mmoja alisema yeye binafsi anapenda mizigo mizito mizito iliyojazia neema, hapenndi akina Miss Songea and the likeMahubiri ya xxx? Sijakuelewa kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dogo kafikiria yale mauno na lile vibe alafu kafungiwa ndani mwenyewe kaona bora ajitundike
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kabisaaa yaanMaisha yenyeww bongo yakowapi , mpaka watoto wnajikuta wana stress, heri mtu akakeshe na singeli huko na amapiano! mkimzuia ndo kama hivyo mapepo ya mawazo yana-take over watu wanajinyonga.Hasara kwa taifa
Inasikitisha mno!!Huyo ni ana miaka kumi kajinyonga kisa kigodoro, sipati picha watoto wa secondary
Mahubiri kwenye nyumba za ibada wale ambao hawatengi ibada za watoto Bali wote huchanganyikana. Sasa, asilimia kubwa ya mahubiri Yao ni mapenzi na mahusiano. Wanaongea mambo mazito ama wanapo kemea tabia Fulani au wanapomasisha mahusiano, wakati wanaongea hayo watoto wadogo wapo.
Yaani ulipoandika hivi ni kama kwamba haya ndio mawaidha tunayopewa misikitini. Mimi mbona sijawahi sikia "mahubiri" ya "mapenzi na mahusiano" kwa wingi kama unavyodai huko misikitini? Na darsa ninazosikiliza sio za mada hiyo na zile darsa za ndoa huwa inazungumzwa ilmu tu ya Kishari'ah kuhusiana nayo na adabu zake.Imewahi kusikia mawaidha ya kipoozeo? Unadhani anayatolea wapi hayo mahubiri?