Chalinze: Mtoto ajinyonga baada ya kukatazwa na mama yake asiende kwenye Kigodoro

Chalinze: Mtoto ajinyonga baada ya kukatazwa na mama yake asiende kwenye Kigodoro

Yaani ulipoandika hivi ni kama kwamba haya ndio mawaidha tunayopewa misikitini. Mimi mbona sijawahi sikia "mahubiri" ya "mapenzi na mahusiano" kwa wingi kama unavyodai huko misikitini? Na darsa ninazosikiliza sio za mada hiyo na zile darsa za ndoa huwa inazungumzwa ilmu tu ya Kishari'ah kuhusiana nayo.

Halafu huyo Kipozeo ambaye vi clip vyake vilisambaa sana miongoni mwenu mbona ni mtu mdogo tu katika Dini hii, ambaye kuna watu wengi hatumzingatii.

Na wala Dini (Uislam) haujawahi kuwa sababu, kwa namna yoyote ile, ya kuenea kwa hivi vigodoro, singeli na ushetani mwengine mfano wake. Ukweli ni kwamba, watu wakirudi katika Dini, vitu hivi vinapotea. Vitu hivi vinamea kwa watu kuacha kufuata Dini.

Hivyo acha upotoshaji. Huwa unaropoka sana dhidi ya Uislam na Waislam.

Haya mawaidha kwenye video yanatolewa wapi ? Je hakuna watoto waliopo hapo kwenye mawaidha haya
 

Attachments

  • videoplayback(5).mp4
    1.2 MB
Juzi mbeya
Leo chalinze
Kesho ni kuuombea kwa Mungu manake usijeshangaa inakuja kwako
Jana Pemba, polisi kajiua baada ya kashfa za kujianika/ kuanikwa mtandaoni! Haya matukio yanatisha na kusikitisha!
 
Mtoto aliyejulikana kwa jina la Dotto mwenye miaka 10 mkazi wa kijiji cha Chalinze Mzee wilaya ya Chalinze amekutwa amejinyonga usiku wa kuamkia leo.

Imeelezwa kuwa amejinyonga baada ya kukatazwa na mama yake mzazi asiende kwenye muziki (kigodoro).

Chanzo: EATV
Huyo kauwawa hebu acheni ujinga.., niambieni Dunia hii ni wapi umewahi kusikia mtoto wa miaka 10 kajinyonga?
Uchunguzi ufanyike
 
Baadhi ya wahubiri na watoa mawaidha wanawateka wasikilizaji kwa kuzungumzia zaidi masuala ya mahusiano kuliko mafundisho ya kiimani, kwamfano mhubiri mmoja alisema yeye binafsi anapenda mizigo mizito mizito iliyojazia neema, hapenndi akina Miss Songea and the like
😂😂
 
Watoto sahv ndiyo wanachokifata kwenye matamasha ya wasanii kuona mknd na mauno

Ova
Vitoto siku hizi ukizubaa vinakutongoza.

Utasikia ila we uncle mzuri, naomba apple punch....
Acha ubahili uncle nipe ipo siku nitakupa utakachotaka.

Darasa la 7 huyo
 
Vitoto siku hizi ukizubaa vinakutongoza.

Utasikia ila we uncle mzuri, naomba apple punch....
Acha ubahili uncle nipe ipo siku nitakupa utakachotaka.

Darasa la 7 huyo
Mchakate alafu hama mjin
Awakawii kukujazia nzi
 
Vitoto siku hizi ukizubaa vinakutongoza.

Utasikia ila we uncle mzuri, naomba apple punch....
Acha ubahili uncle nipe ipo siku nitakupa utakachotaka.

Darasa la 7 huyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] makubwaaaa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] makubwaaaa.
Usicheke we siku moja tembelea Kawe Beach utaamini nilichosema.
Vitoto vinakuja chuchu zimesimama hatari, chini wamebana vinatembea kwa kujibenua

Utasikia mi bwana angu leo haji beach, ngoja nitafute mtu anipe hela nichukue boya nikaogelee naye
 
Back
Top Bottom