Chalinze: Mtoto ajinyonga baada ya kukatazwa na mama yake asiende kwenye Kigodoro

Siku hizi hadi bara nako kuna mikesha, watoto wanakesha hadi wengine wanasinzia darasani. Nchi hii...
 
Kuna mtumishi wa umma alioa Morogoro, akapata uhamisho kwenda Iringa kikazi, mkewe akagoma katakata kuhama pamoja na mumewe kisa ni kwamba ikitokea shughuli nyumbani ushiriki wake utakuwa hafifu hataweza kurudi kwa wakati au asirudi kabisa,
 
Sahihi 100%
 
Mahubiri ya xxx? Sijakuelewa kabisa
 
Mahubiri ya xxx? Sijakuelewa kabisa
Baadhi ya wahubiri na watoa mawaidha wanawateka wasikilizaji kwa kuzungumzia zaidi masuala ya mahusiano kuliko mafundisho ya kiimani, kwamfano mhubiri mmoja alisema yeye binafsi anapenda mizigo mizito mizito iliyojazia neema, hapenndi akina Miss Songea and the like
 
Maisha yenyeww bongo yakowapi , mpaka watoto wnajikuta wana stress, heri mtu akakeshe na singeli huko na amapiano! mkimzuia ndo kama hivyo mapepo ya mawazo yana-take over watu wanajinyonga.Hasara kwa taifa
 
Imewahi kusikia mawaidha ya kipoozeo? Unadhani anayatolea wapi hayo mahubiri?
Yaani ulipoandika hivi ni kama kwamba haya ndio mawaidha tunayopewa misikitini. Mimi mbona sijawahi sikia "mahubiri" ya "mapenzi na mahusiano" kwa wingi kama unavyodai huko misikitini? Na darsa ninazosikiliza sio za mada hiyo na zile darsa za ndoa huwa inazungumzwa ilmu tu ya Kishari'ah kuhusiana nayo na adabu zake.

Halafu huyo Kipozeo ambaye vi clip vyake vilisambaa sana miongoni mwenu mbona ni mtu mdogo tu katika Dini hii, ambaye kuna watu wengi hatumzingatii.

Na wala Dini (Uislam) haujawahi kuwa sababu, kwa namna yoyote ile, ya kuenea kwa hivi vigodoro, singeli na ushetani mwengine mfano wake. Ukweli ni kwamba, watu wakirudi katika Dini, vitu hivi vinapotea. Vitu hivi vinamea kwa watu kuacha kufuata Dini.

Hivyo acha upotoshaji. Huwa unaropoka sana dhidi ya Uislam na Waislam.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…