Gengis Khan wa Jf
JF-Expert Member
- Oct 27, 2024
- 1,311
- 3,344
Nilikuwa nazawa nitoke road niandamane nikafikiria hivi nikipigwa Shaba na kufa kizembe Mwanamke mrembo kama Lamomy nitamuona wapi ?
Mimi sio chawa wala sijavuta bangi I'm The Mafia boss with high IQ kwa akili zangu timamu nasema hakuna mrembo Jf kuzidi Lamomy nimetumia vigezo vingi na nimeangalia kwenye spiritual gallery mpaka kufikia kusema haya .
Naomba cocastic unisaidie kumuelezea Lamomy jinsi ninavyomkubali najuanin mtata na sio jambo rahisi kuelewa maana Warembo wakali ndivyo walivyo.
Mishale nitaanza kuichambua sifa moja Moja za mrembo wetu wa Jf Miss Lamomy
#Mafia Boss with high IQ