Challenge accepted: Tokea JF ianzishwe hakuna Mwanamke mrembo kuzidi Lamomy

Nimekupiga spana unaanza kuzuga na vinyuzi vya kijinga.

Hivi huna kazi za kufanya?
Kwanza mimi sio design ya wanawake wapuuzi unaowafikiria. Sipo JF kutafuta bwana wala mume ndiomana ukizingua navuta box la spana kazi inaanza..!!

Popoma narudia tena acha kujaza nyuzi za hovyo jukwaani..!!
 
Leo kakasirika sana baada ya kuona ulinzi umeimarishwa na kashindwa kwenda kuvunja supermarkets za watu na kuiba, alikua anazungusha sketi humu kupiga mikwara kuwa atatoka akafanye vurugu za kuharibu mali za watu na kuiba ila hajatoa pua ndani baada ya kuona polisi hawacheki na nyumbu.

Pole sana nyumbu jike Lamomy
Umekojolewa vingapi leo?
Machawa hamjawahi kuwa na akili, muda wote mnawaza kuwapamba mabasha zenu..!!

Sisi tunawapambania nyie muishi kwa raha sio kwa kazi ya kupelekewa moto sawa shosti?
 
Nyumbu jike leo upo kwenye hatari ya kulala njaa mali ulizobeba kwenye ile supermarkets kwenye yale maandamano uchwara ya wizi na uharibifu wa mali zimeisha na leo ulinzi uko tight mmeshindwa kuiba mchele na mitungi ya gesi mwezi huu sijui mtaishije nyumbu nyie
 
Nimekupiga spana unaanza kuzuga na vinyuzi vya kijinga.

Hivi huna kazi za kufanya?
Kwanza mimi sio design ya wanawake wapuuzi unaowafikiria. Sipo JF kutafuta bwana wala mume ndiomana ukizingua navuta box la spana kazi inaanza..!!

Popoma narudia tena acha kujaza nyuzi za hovyo jukwaani..!!
Mapenzi upofu mimi sijali lolote
 
Nyumbu jike leo upo kwenye hatari ya kulala njaa mali ulizobeba kwenye ile supermarkets kwenye yale maandamano uchwara ya wizi na uharibifu wa mali zimeisha na leo ulinzi uko tight mmeshindwa kuiba mchele na mitungi ya gesi mwezi huu sijui mtaishije nyumbu nyie
We KUBWA LA MANYUMBU una nongwa sana.
 
Hahahahaha!! Now I'm the Mafia Boss with High IQ .

Have a nice day Bichwa I'm not your enemy, I'm a big fan of you .

If anyone tries to harm you by an means don't hesitate to call me.
😁😁😁😁😁 Ahsante Brigedia, i am humbled you know!

Nitumie laki moja ya soda bosi nina kiu sana.
 
Back
Top Bottom