BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 9,528
- 24,071
We ni KUBWA LA MANYUMBU acha kujifanya mamba!Mi ni mamba siwezi kuwa nyumbu, maana nyumbu ni chakula cha mamba
Asubutu!
We ni KUBWA LA MANYUMBU acha kujifanya mamba!Mi ni mamba siwezi kuwa nyumbu, maana nyumbu ni chakula cha mamba
Kuhusu tabia yake ya kukojoa toeni shaka maana Mimi huwa nakesha naye kama CNN nikimbamiza. Kwa hiyo huwa anabanwa na mkojo akiwa bado macho akibamizwa nami.Shemeji huyo tumekupa member wa JF bila mahari, ila kuwa makini KIKOJOZI 😹😹
Mafia hapa nakagua mafiles ya Siri nitarusha live kapicha kutilia nguvu uziNimepitia uzi ila sijaona picha ya huyo Lamomy zaidi ya ngonjera tuu
Kumbe hajakagua mafiles, Sasa umejuaje n mzuri kuliko wote?Mafia hapa nakagua mafiles ya Siri nitarusha live kapicha kutilia nguvu uzi
Nina file la official kwa ajili ya spana ndani yake Kuna folders nyingi mno kwa ajili ya kutembeza dozi za kila aina na files za member kibao za siri mno . Nina agents kibao wanakusanya data Kisha Mimi nazitunza kwa Matumizi ya baadae au muhimu.Kumbe hajakagua mafiles, Sasa umejuaje n mzuri kuliko wote?
Oya una ngonjera sana mpaka siwezi kusoma.Nina file la official kwa ajili ya spana ndani yake Kuna folders nyingi mno kwa ajili ya kutembeza dozi za kila aina na files za member kibao za siri mno . Nina agents kibao wanakusanya data Kisha Mimi nazitunza kwa Matumizi ya baadae au muhimu.
Sasa haiwezekani picha niweke kwenye file bila kuikagua au kuiona ila baadhi ya files kutokana na umuhimu wake nimeziwekea security Kali mno kiasi ambacho hata Mimi mwenyewe ngumu kuAccess kwa urahisi.
Vuta subira niingie kazini nipekue Kisha Kisha....View attachment 3513656
Subiri itakuja tu mkuuBila picha ni porojo tu
Poa nitakutagOya una ngonjera sana mpaka siwezi kusoma.
Sikia, sitaki hizo ngonjera zako, weka picha.
Huu sio upuuzi acha kudharau hisia zangu mkuuNaona mbogamboga mnatumia nguvu kubwa sana katika kuvunja nguvu ya maandamano hadi mnafikia hatua ya kuandika na kupakia vitu vya kipuuzi tu kusudi kupoteza maboya ni mambo ya hovyo sana.
Aweke picture ili turuke nayo katika ule mchezo wetu.Oya una ngonjera sana mpaka siwezi kusoma.
Sikia, sitaki hizo ngonjera zako, weka picha.
Genta achana na LamomyNilikuwa nazawa nitoke road niandamane nikafikiria hivi nikipigwa Shaba na kufa kizembe Mwanamke mrembo kama Lamomy nitamuona wapi ?
Mimi sio chawa wala sijavuta bangi I'm The Mafia boss with high IQ kwa akili zangu timamu nasema hakuna mrembo Jf kuzidi Lamomy nimetumia vigezo vingi na nimeangalia kwenye spiritual gallery mpaka kufikia kusema haya .
Naomba cocastic unisaidie kumuelezea Lamomy jinsi ninavyomkubali najuanin mtata na sio jambo rahisi kuelewa maana Warembo wakali ndivyo walivyo.
Mishale nitaanza kuichambua sifa moja Moja za mrembo wetu wa Jf Miss Lamomy
#Mafia Boss with high IQ
Mimi sio Genta I'm the Mafia boss with High IQ
Chaputa iishii milele..Aweke picture ili turuke nayo katika ule mchezo wetu.
Hakuna atakae kubaliana na weweMimi sio Genta I'm the Mafia boss with High IQ
Kidumu chaputa...Chaputa iishii milele..
Chaputa oyeeeeeeeKidumu chaputa...
Hizi mada zilipotea sana hapa jukwaani walao zinaanza kutejea mdogo mdogo
Sawa , Mimi nafurahi sana kuona Jf imejaa MaGreat sinker kama wewe .Hakuna atakae kubaliana na wewe