Challenge accepted: Tokea JF ianzishwe hakuna Mwanamke mrembo kuzidi Lamomy

Challenge accepted: Tokea JF ianzishwe hakuna Mwanamke mrembo kuzidi Lamomy

Usichokijua huyo ni popoma na ndo mmiliki wa ids zote za yule member anayevamia nyuzi na kuzipa dislike na kutukana mpaka mods. Anayepigwa ban na kufungua mpya kila muda..!!I
Mimi ni mtandao mkubwa mtu mmoja kama kikosi cha Pina.

Mwamba aliyesababisha Uzi wa mwanzo selfika kufutwa
 
Usichokijua huyo ni popoma na ndo mmiliki wa ids zote za yule member anayevamia nyuzi na kuzipa dislike na kutukana mpaka mods. Anayepigwa ban na kufungua mpya kila muda..!!
Nani huyo anayetukana mpaka mods , naomba umtag nimuongeze kwenye list ya vijana wangu wa kazi maana napenda watu vichaa kama hao
 
Hivi humu Kuna wanawake? Mi niliambiwa hum wote masela na mashoga kiasi, wanawake wengi ni wazee sana hata meno hawana
 
Lamomy nahitaji kuthibitisha hili!!.

Ila Kwa Sasa ngoja tumalizie Kuikomboa Nchi , muda ni mchache sana.
Ni genta huyo tahira nilimpiga spana kwenye nyuzi zake za kusifia upuuzi kaamua kuja kwa style mpya baada ya kichapo kumuingia..!!

Muhimu kwa sasa nchi ipate uhuru wa kweli. Mambo ya nani ni nani hayana tija kwa taifa..!!
 
Ni genta huyo tahira nilimpiga spana kwenye nyuzi zake za kusifia upuuzi kaamua kuja kwa style mpya baada ya kichapo kumuingia..!!

Muhimu kwa sasa nchi ipate uhuru wa kweli. Mambo ya nani ni nani hayana tija kwa taifa..!!
Alaaaaa basi lengo lake ni wanaokujua ( Incase wapo humu) warushe hapa Picha zàko.

Hana Akili kabisa, aliacha Maisha yake kua Wazi .

Hivo wanaatarifa zake binafsi.

Anachokifanya , ni kile kile anachofanya jamaa wakuitea ROBERT HERIEL.


Bila hivo ,wangetekwa Asubuhi Kweupe.
 
Nilikuwa nazawa nitoke road niandamane nikafikiria hivi nikipigwa Shaba na kufa kizembe Mwanamke mrembo kama Lamomy nitamuona wapi ?

Mimi sio chawa wala sijavuta bangi I'm The Mafia boss with high IQ kwa akili zangu timamu nasema hakuna mrembo Jf kuzidi Lamomy nimetumia vigezo vingi na nimeangalia kwenye spiritual gallery mpaka kufikia kusema haya .

Naomba cocastic unisaidie kumuelezea Lamomy jinsi ninavyomkubali najuanin mtata na sio jambo rahisi kuelewa maana Warembo wakali ndivyo walivyo.

Mishale nitaanza kuichambua sifa moja Moja za mrembo wetu wa Jf Miss Lamomy

#Mafia Boss with high IQ
Could you put her photo please?
 
Back
Top Bottom